tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

    Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika. Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
  2. H

    TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

    Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake. Balozi Paul Rupia...
  3. TANZIA Tanzia: Mzee Ali Hassan Mwinyi afiwa na mwanaye anayeitwa Hassan Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka nyumbani Chukwani Saa Saba na Nusu Inalillahi waina ilaihi rajiuna --- Nimepokea kwa masikitiko...
  4. TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  5. TANZIA Mwanahabari mkongwe, Dkt. Gideon Shoo afariki dunia

    MWANAHABARI nguli na mkongwe wa siku nyingi Dkt.Gideon Shoo ambaye pia alikuwa mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani na nje ya Tanzania amefariki. Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizoifikia DIRAMAKINI zinaeleza kuwa, Dkt.Shoo amefariki Julai 9, 2022 wakati...
  6. U

    TANZIA Msanii maarufu Bi Hindu amefariki Dunia leo Julai 9, 2022

    Taarifa za huzuni kubwa Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mjukuu wake huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu. Bi Hindu ni...
  7. TANZIA Rajab - Bulk Distributors - Arusha hayuko nasi tena

    Ndugu wana JamiiForums nawasalimu. Kwa masikitiko makubwa, jabali kubwa kwenye construction industry Arusha - muanzilishi na mmiliki wa the biggest hardware shop in the northrern zone - Bulk distributors ametutoka. Mwenyeze Mungu ampumzishe kwa amani. He was a role model, entrepreneur who...
  8. N

    TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

    Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu. Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa...
  9. Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔 Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
  10. TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  11. TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
  12. TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya KCMC Mkoani Kilimanjaro...
  13. U

    TANZIA Ustaadhi Juma Zuberi Ali Afariki Dunia Alitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Tunatoa Pole kwa wafiwa Marehemu atafanyiwa Maziko kesho February 01, 2022 Kwamndolwa Korogwe Tanga
  14. TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  15. Tunaishi duniani ili tufe

    Yaani kama una uhai leo jua utakuja kufa tu. Kwahiyo punguza kuchakarika, kujivimbisha, kutukana watu. Utakufa na hutokuwepo tena duniani. Kiburi na majivuno yako yote hayatakua na maana na wala havitakuwepo duniani tena. Umezaliwa ili uje ufe na hili haliepukiki.
  16. TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  17. TANZIA Mama Mzazi wa Lulu diva amefariki

    Mama Mzazi wa Luludiva amefariki. Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021. Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na amekuwa akimuuguza kwa miaka mingi. Mwili wa mama Mzazi wa Lulu diva kuagwa juma pili tarehe...
  18. TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  19. F

    TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…