tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

    Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi. Nimepima sukari na...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  3. kichongeochuma

    NIMR na Wizara ya Afya mmeshindwa kabisa kufanya tafiti na kupata tiba sahihi ya tatizo la macho kuvimba na kuwa mekundu?

    Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu. Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu! Hii ni...
  4. BARD AI

    DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  5. G

    Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  6. zero to hero 199

    Msaada kwa hili tatizo

    Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa. iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na tabia ya kujichua pamoja na kuangalia picha za ngono na katika hilo nimemudu kuweza kabisa nilianza...
  7. P

    Tatizo la kutopata choo

    Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana. Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯% bila kutumia dawa Nilishangaa Sana Ila nikagundua ni lifestyle ninayoishi Mimi na ya pale nyumbn ni...
  8. GoldDhahabu

    Ni tatizo la Kisaikolojia au ushirikina?

    Sidhani kama ni hali ya kawaida. Haijazoeleka. Sijasema pia ni mshirikina au ana tatizo la kiakili. Inaweza ikawa hivyo au kinyume chake. Kwa kifupi, ni tukio la kushangaza sana kwa wengi. Au anautafuta umaarufu?
  9. Nyankurungu2020

    Shujaa wa Afrika aliyepambania taifa lake kumaliza tatizo la Umeme. Mradi wa JNHP ni suluhu kwa taifa letu

  10. P

    Nani alipona tatizo la kuota unafanya mapenzi ndotoni?

    Hizi za Aina hii zinanitesa Sana Mimi? Nifanye Nini ili ziweze kuniachia, Mara kadhaa kwa miaka kadhaa Sasa nasumbuliwa na hizi ndoto za kufanya mapenzi usingizini Mimi siangalii video za porn Mimi siongelei Mambo ya ngono Ila nashindwa kuelewa hii Hali naichukia Sana ,nifanye Nini jamani?
  11. JF Toons

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  12. R

    Waziri Jerry Slaa una dhamira ya kutatua changamoto za ardhi, lakini unakiacha chanzo cha tatizo ambacho ni watumishi Idara ya ardhi utakwama

    Idara y ardhi matatizo wanayoyasababisha ni haya 1. Double allocation hii inafanywa makususdi na maafisa wa ardhi waandamizi 2.Vishoka ambao wanashirikiana na watumishi waandamizi wa Idara ya ardhi. Kwa kushirikiana na vishoka wanavamia eneo la mtu, wanapima kinyemela kwa kumtumia kishoka, idara...
  13. B

    Msaada: Napata tatizo kila nikijaribu kujisajili MCT

    Habari ya muda huu Wana JF, Nimemaliza kozi ya utabibu NTA level 5 mwaka 2023, sasa nilikuwa kwenye process za kuomba leseni kupitia MCT, kwenye mfumo inagoma, nikitaka ku submit information baada ya kuzijaza inaandika.. ERROR; Your registration number does not match with the end year of study...
  14. kayanda01

    Brake Master Cylinder: mafuta ya brake kuvujia kwenye booster housing. Nini tatizo? Nini tiba?

    Brake fluid kuvujia onto brake booster housing... yaani kwenye makutano ya Master Cylinder na Booster panavuja mpaka rangi ya booster housing imemenyeka (booster paint peeling off) coz of such fluid leakage. Master Cylinder iliyopo sasa iliwekwa mwaka jana November, tuliweka used ya Japan...
  15. D

    Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

    Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa. Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la...
  16. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  17. LIKUD

    Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  18. F

    Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  19. M

    Kujisajili TAESA kwangu ni tatizo

    Habari wapendwa, Hivi kujisajili taesa inakuaje au sasa hv mfumo haufanyi kazi? Maana toka juzi nahangaika kujisajili haifiki popote ina search kwa muda mrefu inaandika tu contacting website again nakuendelea ku load tena na tena mwishowe inaandika Google couldn't reach the internet. Sasa...
  20. Hu Jintao

    Tatizo la USB Ports za Laptop

    Habari wadau! Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa. Sasa nikiwasha inaniambia press F1 to continue na hiyo key inapatikana kwenye keyboard nayo haiditect. Msaada wakuu
Back
Top Bottom