Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki ya mwananchi, kwamba lilifungwa na mchezaji anayeitwa Sikaumbwe, kinyume kabisa na matangazo ya TV...