tbs

  1. G

    TBS ni wahujumu uchumi

    Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake. Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na...
  2. Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  3. Wafanyabiashara Watakiwa Kuhakikisha Bidhaa Zinakaguliwa na TBS Kabla ya Matumizi

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
  4. R

    Utitiri wa viwanda vya bati Tanzania na paa za nyumba zenye bati mijini kuwa na kutu ni Udhaifu mkubwa uliopo TBS

    Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora licha ya hapa nchini Kuna taasisi ya umma inayoshughulika na ubora wa bidhaa. Utitiri wa viwanda vya...
  5. Editor II (2 Post) at TBS

    Position: Editor II – 2 Post Employer: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Duties and Responsibilities i. To edit manuscripts; ii. To edit website contents; iii. To proof read manuscripts; and iv. To perform any other duties as may be assigned by the Head of Section. Qualification and...
  6. N

    Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
  7. Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  8. TBS na TFDA wapewe waarabu tu, Bidhaa bandia madukani ni nyingi sana na zingine ni vyakula, magonjwa yasiyo ambukiza hayata isha

    Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo , Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo...
  9. Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  10. J

    TBS yawataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ili kuepuka madhara ya kiafya kabla ya matumizi

    SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
  11. TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  12. Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

    Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke...
  13. Shirika Ka Viwango Tanzania TBs Limewataka Wananchi kuachana Na Powder ya Johnson

    Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani. Katika taarifa yao iliyotolewa na...
  14. D

    Nifanyeje ili niwaamini tena TBS, TFDA na wathibiti ubora wengine maana kila nikijaribu kuwaamini inashindikana

    Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora! Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa! Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!. Kila nikiona nembo ya...
  15. TBS yashauri watumiaji Poda za Johnson & Johnson kusitisha kwa muda

    Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Ngenya amesema uamuzi huo unafuatia uwepo wa taarifa kuhusu Poda hususani za Watoto kuhusishwa na Saratani. Dkt. Ngenya ameongeza kuwa Poda zilizopo sokoni Tanzania kwa sasa zinatoka Afrika Kusini na tayari #TBS imewasiliana na Mamlaka za...
  16. TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  17. TBS inakanusha kuwa ilipima bidhaa za dawa za meno na kutoa taarifa kuwa zina vichocheo vya kibiolojia

    Kufuatia lile kongamano aliloshiriki Harrison Mwakyembe ambapo mmoja wa wazungumzaji alieleza uwepo wa dawa za meno na "body spray" zinazoongeza homoni za kike kwa wanaume. shirika la viwango Tanzania (TBS) limetoa tamko kukanusha madai hayo huku ikieleza inaendelea kufuatilia JISOMEE HAPO...
  18. Kwanini Shirika la Viwango Tanzania (TBS) hawapewi kibali cha kuajiri tangu 2019 leo 2023

    Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi. Leo naomba niliseme ili nyote mpate kulisikia. Kati ya mashirika ambayo hayajaajiri tangu mwaka 2019 ni pamoja na TBS. Mara ya mwisho waliajiri mwaka 2018. Nina uhakika kati ya mashirika yenye uhitaji mkubwa wa wafanyakazi ni pamoja na TBS...
  19. Glyphosate has already been proved to spread into the ecosystem, and now has been detected in wildflowers and pollen.TPRI and TBS please take action.

    Glyphosate has already been proved to spread into the ecosystem, and now has been detected in wildflowers and pollen.TPRI and TBS please take immediate action. Thursday, January 26, 2023 Glyphosate, the infamous carcinogen in Round Up and other Glyphosate containing trade names, has been...
  20. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imewataka wafanyabiashara na watoa huduma wakubwa na wadogo kuchangamkia fursa ya kushiriki Tuzo za ubora kwenye huduma na bidhaa. Ndugu Baraka Mbajije (Afisa udhibiti ubora - TBS) amesema lengo la Tuzo hizi ni kuhakikisha kuwa mifumo ya bidhaa na huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…