tcu

  1. JanguKamaJangu

    TCU yasema hakuna Mwanafunzi atakayelazimishwa kusoma katika chuo ambacho hakitaki

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
  2. A

    DOKEZO TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  3. Nukes

    Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  4. Kikwava

    Hongera Sana TCU kwa Kuanzisha mfumo wa Paper writing

    Huyu Prof aliyegundua mfumo wa Paper writing kwa hawa post graduate alifanya Jambo moja zuri na msaada sana kwenye kuwajengea uwezo wasomi wetu wa kulinganisha hoja (speech with references) Huwa naumia sana ninapoona Hawa wasomi wa miaka ya nyuma kidogo wanapoita press harafu wanakuwa hawana...
  5. S

    TCU kumbukeni Waziri Mkuu aliwaambia acheni kunyanyasa na kuonea Vyuo Vikuu Binafsi

    Hii taasisi ya serikali inayosimamia vyuo vikuu nchini imekuwa na tabia ya kuonea, kunyanyasa vyuo vikuu binafsi. Kuna kipindi hasa miaka ya 2016 walifungia sana either chuo kabisa au baadhi kozi. Hii ilipekea taharuki kubwa sana nchini. Ilifungia matawi ya vyuo vikuu hasa kutokea nchi za Kenya...
  6. Hot bird

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  7. M

    TCU chukueni hatua dhidi ya chuo cha SAUT-Mtwara

    Habari, Moja kwa moja kwenye hoja, Chuo cha SAUT-Mtwara kimechoche kudidimiza ubora wa wahitimu wa chuo hicho kwa miaka kadhaa sasa, sababu kubwa ni kushidwa kuwalipa walimu na kuwatengenezea madeni makubwa huku wengi wakikimbia kusaka masilahi serikalini, na kwenye vyuo binafsi. Kuna baadhi ya...
  8. benzemah

    Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  9. JanguKamaJangu

    DOKEZO TCU ichunguze vyeo vya Udaktari wa Heshima wanaopewa Wanasiasa, tunatengeneza Taifa la Wajinga

    Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is need to control honorary degrees in Tanzania Having a doctorate is a big deal. It shows that the...
  10. robinson crusoe

    Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
  11. C

    Waandishi wa Habari wa Tanzania jitahidini mlizingatie sana hili la TCU kuhusu PhD za Taaluma na zile za Heshima

    Kwa mujibu wa TCU ni kwamba Mtu yoyote ( hata awe ni nani Tanzania ) akiwa ametunukiwa PhD ya Heshima akiwa anatajwa ni lazima Kianze Cheo chake kisha Jina na Tuzo hiyo ya Heshima. Kwa mfano Cognizant nikiwa labda ni Mkuu wa Wilaya na nimezawadiwa PhD ya Heshima na Chuo Kikuu chochote Waandishi...
  12. M

    TCU wasaidieni wanataaluma wa SUZA

    Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha. Mchakato unachukua muda sana kiasi ambacho mwanataaluma anaweza kuomba promotion ikachukua mwaka na zaidi bila ya...
  13. G

    Vyuo vinavyotoa Masters degree ambavyo havipo kwenye orodha ya TCU (Post-Graduate guide book)

    Habari wanaJF Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho. Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau...
  14. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi kusoma na labda kutambulika kwake kwa Tanzania na TCU ,Naamini tutafaidika sote kwa mawazo yenu...
  15. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  16. rangyahero

    CBE Dar es Salaam kuna nini?

    Kuna uwezekano mkubwa kwa wanafunzi wa CBE Dar es salaam wa mwaka 2022 waliofaulu kujiunga na vyuo vikuu hawatapata fursa hiyo. Tafadhali wenye taarifa kamili tujuzeni. Wazazi tumelipia watoto ada miaka miwili Ili kuwapatia watoto fursa za kujiendeleza kielimu ila tunashangazwa na mwenendo wa...
  17. J

    Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  18. I

    Online Masters programmes zinazotolewa na Coursera zinatambulika na TCU?

    Naam wakuu kichwa kinajieleza hapo. Je hivyo vyeti vinavotolewa hapo vinatambulika na TCU kweli au ni kupoteza muda na fedha?
  19. K

    Msaada: Hizi kozi zilizotajwa kutumika kama equivalent entry qualification kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma ni kozi gani hizo?

    Salaam..... Naomba kujua kozi zilizotajwa kwa jina la BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology. kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma kuwa ziliweza kutumika kama equivalent qualification kusoma degree yeyote ya afya yaani medicine, pharmacy nk...
  20. Jidu La Mabambasi

    Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

    Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini: "Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli. Kwanini msiombe yafuatayo: 1. Abstract...
Back
Top Bottom