TCU hongereni sana kwa jitihada za kusimamia utoaji wa taaluma na uendeshaji wa vyuo vikuu nchini. Kwavyovyote vile kazi yenu sio ndogo. Hongereni sana pia kwa kutoa miongozo mbalimbali ya taratibu za namna ya kuendesha na kufanikisha mambo mabalimbali kwenye elimu ya juu.
Angalizo tu ni namna...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefungua dirisha la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza, mwaka wa masomo 2020/21.
Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa amesema dirisha la kwanza la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza limefunguliwa kuanzia leo Agosti 26,2020 na litakuwa wazi hadi...
Mheshimiwa Rais!
Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania.
Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili.
Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha
Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Ningependa kutoa ushauri kwa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)na vyuo husika kutokana na zoezi la udahili wa wanafunzi lilivyokuwa likiendelea wakati zoezi likiendelea.
Baadhi hawakuchaguliwa round ya kwanza ya pili na ya tatu pasipo kuelezwa sababu ya...
Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya.
Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza kujiunga na kozi husika sababu kuu za kukosa zinaweza kuwa:
1. Ushindani mkubwa kwa kozi husika
2...
Tunashukuru TCU hatimaye wametoa majina ya waombaji waliochaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja na wahusika wanatakiwa wa-confirm chuo wanachokitaka. Tatizo ni kuwa hawajaainisha kozi alizochaguliwa kwenye kila chuo maana mwombaji alikuwa anaomba zaidi ya kozi moja kwenye kila chuo. Kwa taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.