Tume ya vyuo vikuu Tanzania TCU imetoa tamko kuhusu utaratibu wa utoaji wa shahada za heshima yaani honorary degrees,hii ni kutokana na mjadala wa PhD ya heshima aliyopewa Dkt.Msukuma hivi karibuni.
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya...
Vyuo vyetu vikuu vina idadi ndogo ya maprofesa, na wale wachache waliopo sio kweli wote wanazo sifa za kushika nafasi ya u vice chancellor, maNaibu Makamu wakuu wa chuo taaluma na mipango na fedha, au kuwa mkuu wa idara au Mkuu wa kitivo. Nafasi hizi zinahitaji maarifa na sifa ambazo ni zaidi...
Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao hadi dakika ya mwisho.
Mkanganyiko kwa vyuo uko hivi, vyuo havina uhakika ni wanafunzi wangapi...
Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La.
Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka.
Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini.
Chuo kikuu sio sekondari kwamba umpangie mtu chuo na kozi ya kusoma. Hata Ulaya hawafanyi hivyo.
Waacheni...
TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia vigezo (minimum) vya ubora wa kumudu kutoa mafuzo yaliyokusudiwa. Ingawa ni kweli vyuo vinatofautiana...
Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.
Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.
Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili...
Naomba rejea kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu.
Kama tunavyojua kuna baadhi ya vyuo hapa Tanzania vimekua vikigawa ufaulu wa bure kwa wanafunzi wao na kuwafanya waonekane wamefaulu sana na kuhitimu na ma GPA makubwa ambayo hayaendani na uwezo walionao kichwani.
Pia kuna baadhi ya...
Habari wakuu,
Kumekuwa na changamoto ya ku-confirm chuo kwa waliopata multiple admission, Uki-request code inaonesha code imetumwa lakini haifiki.Dogo kapata loan na inaonesha amepangwa chuo kimojawapo ya vile alivyochaguliwa.
Kuna njia ya tofauti ya kupata confirmation code? Tofauti kuingia...
Habari wadau na wakereketwa wote wa elimu ya bongo.
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye TCU ishanikatisha ndoto za kuwa daktari si bongo tu dunia nzima MD ina ushindani sana. TCU guide book imetudanganya sana mwaka huu maelfu ya watanzania wamepoteza pesa zao katika application na baadh ya...
Habari wadau,
Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.
Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU...
TCU kwanini vyuo vyetu havitoa degree za online.
Nina uhitaji mkubwa sana wa kusoma Degree ya Accounting online lakini sijaona chuo chochote kinachotoa kozi hiyo kwa njia ya online Tanzania.
Shida iko wapi.
Wakuu Salaam:
Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.
Hawa...
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetangaza awamu ya pili ya udahili wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2020/2021 ambapo utaanza rasmi Oktoba 12 hadi 18 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji TCU, Prof. Charles Kihampa amesema kuwa waombaji...
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi!
karibuni ndugu zangu.
Waraka huu ni wakutaka MABADILIKO yafanyike ndani ya Tume hizi tatu za usajili wa wanafunzi elimu ya msingi, sekondari, vyuo vya Kati na vyuo VIKUU. Uchambuzi unafanywa nami DON NALIMISON NALIMI.
TULIPOTOKA
Mifumo ya elimu inayotumika ni ya tangu mkoloni na hakuna kilichobadilika kila kitu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.