Jaribu Kufikiri,
Umehangaika kutafuta business opportunity kwa njia unayoifahamu wewe,ukatafuta mtaji,ukaajiri wafanyakazi ili mfanye kazi pamoja mjenge kampuni,mjenge maisha.Ila Kila mara unajikuta unahisi kuna kitu unakikosa katika katika timu yako.Kuna wakati unafikiri labda hawana uzoefu au...