Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu za POP na sasa wanakuletea toleo jipya la POP 7 lenye ubora zaidi hasa kwenye uhifadhi wa...
Habari Ndugu!
Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa.
Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu kwenye nyuso zao. Tumelileta Zigo lao la Disembe likiwa limesheheni zawadi za kutosha kwa ajili ya...
Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19
Phone Cloner
Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake...
TECNO tumedhamiria kuendelea kuwafurahisha wateja watu kwa kutoa toleo lenye muonekano mpya linalokwenda kwa jina la CAMON 19 PRO Mondrian. Simu hii ina uwezo mkubwa na muonekano wa kuvutia na wakipekee kuwahi kutokea
Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack...
Toleo la TECNO CAMON 19 ambalo lililozinduliwa rasmi katika soko la Tanzania mapema mwezi Julai, ni mahususi kwa ajili ya wadau wa mitindo ili kuondokana na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na upigaji picha nyakati za usiku na mwanga hafifu kutokana na sifa zake za kustaajabisha.
Simu hii...
Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022- TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ya kisasa zaidi kwa watumiaji, leo imetangaza uzinduzi wa toleo lake la CAMON 19 kwa kushirikiana na Vodacom. Toleo la CAMON 19 limekuja ili kukabiliana na...
TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA Inalipa na ujipatie punguzo la bei la 5% na zawadi kem kem ikiwemo spika ya Bluetooth, power bank, tiketi ya sinema na t-shirt ya...
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
bei
camera
cover
dubai
free
from
galaxy
google
google pixel
hot
huawei
infinix
iphone
iphone 11
iphone x
kali
laini
mbili
mtandao
note
note 9
offer
oppo
pro
ram
redmi
samsung
samsung galaxy
sana
sony
spark
tecno
used
Kampuni ya simu ya TECNO imehitimisha rasmi promosheni ya simu ya SPARK 8C baada ya kukabidhi zawadi ya milioni 5 pesa taslimu za kitanzania kwa mshindi anayefahamika kwa jina la Mohammed Khatibu.
Meneja mauzo TECNO...
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa...
WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua!
Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.