Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack...