tecno

  1. Kwa watumiaji wa Tecno smart Kitochi

    Watumiaji wa Tecno smart Kitochi, Tigo smart Kitochi pamoja na Vodacom smart Kitochi naomba kujua hizo simu kama zina uwezo wa Hotspot, namaanisha kwamba kama nikiweka bando la internet naweza kuitumia hiyo simu kama hotspot kwa simu nyingine au computer? mrejesho tafadhali
  2. Nawezaje kupata file la "Trash" kwenye simu yangu Tecno f1

    Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi ya items inasema "trash full. If you delete these items you delete them permanently" hapo ndo...
  3. Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
  4. Tecno kutoa kitita cha milioni moja kupitia promosheni ya camon 16 billboard star

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza kuanza rasmi promosheni ya Camon16 Billboard Star ambayo itawawezesha wafuasi wake wa kurasa za mtandani pamoja na wateja kwa ujumla kujinyakulia zawadi ya kitita cha shilingi milioni moja, kupata nafasi ya kuwekwa kwenye bango kwa muda wa wiki...
  5. Tecno camon 16s yazinduliwa rasmi

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es Salaam pamoja na kuwatambulisha mabalozi wa simu hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika kwa njia ya mtandao, meneja mahusiano wa kampuni hiyo bwana Eric Mkomoya amesema simu...
  6. Tecno Camon 16s kuingia sokoni hivi karibuni

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika shughuli zao za kiofisi na kiuchumi. Taarifa kutoka kampuni ya TECNO zinaeleza kuwa TECNO CAMON 16s ina...
  7. Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro

    Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro. Uzinduzi wa simu hiyo umefanyika Kidimbwi Beach tarehe 18/10/2020 na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo komediani maarufu Jaymond na wadau wa simu za TECNO. Uzinduzi wa Spark 5pro ulifanyika katika mfumo wa party ambapo DJ...
  8. Tecno camon 11 inahitajika

    Wajamen anayeuza simu tecno camon 11 aje hapa na ofa yake hapa Location: DSM Mobile: 0715 445298.
  9. Tsh.50,000 kwa Tsh.500,000 na Tecno spark 5pro, pre oder sasa!

    Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu...
  10. Naomba msaada wa kutatua tatizo hili, natumia simu aina ya Tecno F1 MT6580

    "phone ACK error ( get infor)_id_03_01" by gsm alladin V2 1.34 msaada mwenye kufahamu namna ya kusolve io kitu..ahsanteni!!
  11. Nimepoteza simu leo asubuhi Tecno Camon 11

    Habarini za saizi wadau wa Jamii Forums. Nimepoteza simu ya Tecno Camon 11 leo, nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri ni nini hatua ya kwanza ya kuchukua kuanzia sasa na ni namna gani nitaweza kuipata simu yangu. Asanteni sana
  12. Phone4Sale Tecno spark 3 pro inauzwa

    Used tecno spark 3 pro Android version 9 Ram 2gb Internal memory 32GB Box na risiti vipo Eneo Temeke (Dar) Contact 0712518770 Bei- 200,000
  13. Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

    Wana teknolojia hamjambo? Naomba msaada wa ufumbuzi wa simu yangu ya Tecno. Imekuwa inasumbua Sana na Kila nikitaka kutumia Kuna ujumbe unatokea kwenye screen (Google play has stopped) hata Niki click "setting" haifunguki. Naomba kuwasilisha.
  14. Phone4Sale Tecno w5 Kwa laki na kumi

    Nauza tecno W5 nzima kila kitu haina tatizo lolote, battery linafanya kazi vizuri kabisa na haina crack Dar es salaam, Bei laki na elf 10. 0762693368
  15. Mwenye simu Tecno W5

    Habari zenu mabibi na mabwana. Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
  16. Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

    Najua ndugu zangu wa tecno mtakuja hapa na povu kama lote. Ila acha niwaambie tu kwamba hienda hamkuwaza sawa walati mnanunua hivyo vifaa vyenu vya mawasiliano. Anyway nimechagua kadhaa ambazo ni bei rahisi. Japo zingine zinaweza kuwa refurbished lakini zinaperform vizuri tu. Watu wengi...
  17. Nauza Tecno Spark 4 mpyaaa bei ya kutupa

    Tecno spark4 2gb Ram 32gb storage 4G network Camera tatu yuma Bei Tshs 200,000 Simu ni yangu ninashinda na pesa 0684329230 nipo Dsm
  18. Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
  19. Kwa nini watumiaji wengi wa Tecno na Infinix wanapenda kujaza screen protectors kwenye simu zao?

    Hua sielewi, unakuta watu wengi wenye simu aina ya tecno au infinix wamejaza simu zao screen protectors, case cover simu inakua nzito balaa. Simu zenyewe ni nzito halafu zinajazwa screen protectors na case covers za kutosha. Hivi kama tecno unaweka screen protector, Samsung S20 Ultra si...
  20. C

    Watumiaji wa Tecno

    Hivi ni kwa nini watumiaji wa tecno simu zenu huwa hazina update ya android version? Yaani kama ulinunua simu labda ina android 7, ili upate android 8, itakulazimu wewe kununua toleo jingine la simu yao yenye hiyo android 8. Wakati wenzenu wa Samsung wao wanafanya ku-update tu na kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…