tegeta

The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.

View More On Wikipedia.org
  1. Ochoa Real Estate

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta "A" Kwa Bedui

    Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center Dakika 7 tuu mpaka goba centre Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho Kiwanja kina sqm 700 Ni corner plot Kina njia kubwa pande mbili Eneo limejengeka vizuri sana Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu.... ☎️ +255 699...
  2. Poppy Hatonn

    Wakazi wa Tegeta hawana habari sakata la kada wa CHADEMA kutekwa.

    Nimepita Tegeta juzi kuuliza yule kada alitekwa wapi,wale watu mostly waliniuliza "kwani yupo kada wa Chadema alitekwa?" Halafu yule mmoja akaniambia,"Ah yes,hata mimi nilisikia kwamba alitekwa pale Mbele." Inaonyesha tukio lenyewe lilifanyika without fanfare na lilikuwa not noticed by many.(...
  3. A

    Plot4Sale Kiwanja cha biashara Tegeta kibo compex

    Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k Kianuzwa 850M Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba 0674630975 Ama 0714 796 778 Karibuni sana
  4. Exogenous Factor

    Plot4Sale Plot for sale: Tegeta Mivumoni, nyuma ya kiwanda cha Wazo hill. Sqm 1391

    Eneo linauzwa,liko Mivumoni, Lipo takribani mita 500 kutoka barabara ya vumbi (Mivumoni-Goba njia nne),karibu na shule ya sekondari Mivumoni! Eneo lina ukubwa wa SQM 1391. Ndani ya eneo ilo kuna nyumba ya kuishi yenye vyumba viwili vya kulala pamoja na sebule,pia kuna mabanda manne makubwa...
  5. Malyenge

    Hivi foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta huwa inasababishwa na nini?

    Wakuu hivi ile foleni inayotokeaga maeneo ya Tegeta mpaka Bunju huwa inasababishwa na nini? Maana huwa ni kubwa na haiendi. Unaweza kutumia masaa matano kujongea kidogokidigo lakini ukifika mbele karibu na Bunju hukuti kilichosababisha foleni na barabara ni nyeupe kabisa. Kwa anayejua...
  6. A

    KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  7. Ms Billionaire

    KERO Barabara ya Goba Tegeta A/Kulangwa bado inatia mashaka mvua zikianza school bus zinapita sehemu hatarishi

    Habari ya leo wadau. Salamu kwa Rais Samia. Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na changamoto yetu kubwa ni barabara. Nilileta malalamiko yangu miezi michache iliyopita kuhusu barabara...
  8. 6 Pack

    Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

    Niaje waugwana, Huyu mkandarasi haijulikani alipewa tenda hii ya ujenzi BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta kwa sifa zipi. Toka tarehe ya ujenzi wa barabara hiyo ilipotangazwa kuanza, hadi leo ni miezi sasa, lakini jamaa utafikiri ndio kwanza wana siku 3 tu. Hakuna hatua yoyote ya maana ya...
  9. W

    KERO Wakazi wa Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) hatuna Maji kwa Muda Sasa, DAWASA shida ni nini?

    Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Sasa taarifa hamtoi na huku Wananchi ambao ni wateja wenu tunateseka bila kujua tunapataje...
  10. Pdidy

    Mwendokasi za Mwenge-Tegeta-Bunju zitakuja lini?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba kuuliza hivi wanaleta lini mwendokasi maeneo haya? Ahsanteni sana.
  11. A

    KERO Mkandarasi anayechimba mchanga Mto Tegeta anaharibu eneo kubwa la barabara, TARURA wapo kimya tu

    Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi Wananchi wa kawaida. Kero yangu ambayo pia naweza kusema ni kero yetu inahusu mamlaka ya Wakala wa...
  12. A

    KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
  13. MwananchiOG

    Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  14. Stuxnet

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
  15. M

    Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

    Pamekua na kero kubwa ya umeme tegeta salasala maeneo ya kilimahewa juu. Umeme unakata kata sana bila taarifa na kupelekea vitu kuharibika na kuingia hasara. Tunaomba mamlaka itoe ufafanuzi juu ya hili mana ni maeneo ya huku tu ndo umeme haupatikani lakini maeneo mengine upo. Takribani wiki...
  16. Miss Zomboko

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui) umeanza baada ya Wananchi kulalamika Ubovu wa Barabara hiyo ambayo imekuwa kero kwa Watumiaji kwa zaidi ya Miezi mitano Viongozi wetu mpaka tuwashtue kidogo ndio wakumbuke kwamba tumewaajiri ======== Malalamiko ya Awali: KERO - Barabara Tegete A...
  17. Mshobaa

    KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  18. D

    Ofisi za Sao hill Tegeta hadi Bunju

    Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju. Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated. Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi. Asante
  19. mtwa mkulu

    Wale wazee wa Tegeta vibanda umiza mnamkumbuka huyu mwamba kiingilio sh 10

  20. Erythrocyte

    Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Back
Top Bottom