tegeta

The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  2. Tembele

    Nafasi ya ajira DSM - Tegeta

  3. M

    Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  4. kapikita

    Dar: Trafiki wa Tegeta kwa ndevu wanatunyanyasa

    Kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na usumbufu unaofanywa na askari pamoja na mgambo eneo la Tegeta kwa ndevu barabara ya bagamoyo. Askari hawa huvamia bodaboda kwa nguvu na kuchomoa funguo ukiwa katikati ya barabara suala linaloweza sababisha ajali. Wakishakukamata kipaumbele chao cha kwanza...
  5. L

    Rushwa na dhulma: Ukaguzi wa leseni za biashara Tegeta

    Naeleza niliyoyashuhudia, Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa. Zoezi la ukaguzi wa leseni...
  6. mgt software

    Simbachawene hizi rushwa za polisi zinatuumiza sisi wapenda usingizi, baa zisizo na vibali zashamili Tegeta, Boko, Bunju

    Wana Jf Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja. Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
  7. mgt software

    Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

    Wana Jf Ukisikia watu jeuri ni hawa vijana wajasiliamali Aka Machinga tegeta, ambao rahis wa awamu ya tano aliwahi kusimama dakika kumi na tano kuomba kura kwa kurudia Rudia akimwombea Gwajiboy jimbo la kinondoni. Wakiwa na huruka ule ule, Mama akiwa njiani kwenda kunadi sera ya utalii nchini...
  8. J

    Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  9. M

    Je, ni kweli kuwa anayefanya Mazoezi ya kutembea tu kwa Miguu Tegeta hadi Mwenge anaimarika Kiafya kuliko anayekimbia?

    Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano. Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale...
  10. beth

    Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
  11. Msitari wa pambizo

    Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo. Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba. Nawasilisha
  12. K

    LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  13. Ramon Abbas

    INAUZWA Pikipiki boxer bm 150 kwa 750,000: Tegeta Dar es salaam

    Boxer bm 150 namba B iko vizuri na inatumika hadi sasa engine haijawahi kushushwa kadi yake ipo biashara mnaandikishana mpaka kwa mwanasheria, polisi na serikali za mitaa haijawahi piga boda boda (private use only) 𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐮𝐧𝐠𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 bei 750,000 dar es salaam.. 𝐭𝐞𝐠𝐞𝐭𝐚 𝐤𝐢𝐛𝐚𝐨𝐧𝐢...
  14. Countrywide

    Tegeta Wazo kuna madalali matapeli tujihadhari, nilinusurika

    ...
  15. MagariTanzania

    House4Rent Nyumba Nzuri ya Ghorofa Inakodishwa Bahari Zoo Tegeta

    In Vyumba sita vya kulala Vyumba vitatu ni self contained vikiwemo Master na Chumba special cha wageni Ukumbi/sebule (Living room) Jiko Ukumbi wa kulia (Dining room) Store Sehemu Ya kuogea (Jumla) Choo (Jumla) Ukubwa. Uwanja mkubwa karibu heka 1 wenye miti ya kuvuli. Kwa habari Zaidi kuhusu Kodi...
  16. mgt software

    Serikali sasa kuna ulazima wa soko kuu Bunju au Tegeta na barabara njia mbili

    Wana JF, Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili...
  17. ommytk

    Hivi ni sawa hili la kuhubiri ndani ya mabasi ya umma?

    Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
  18. mgt software

    Waziri Kalemani tuokoe na hujuma zinazofanywa na TANESCO Tegeta

    Wanna Jf, Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania. Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo. 1. Tanesco iliondoa mita za digital ambazo zilikuwa zinaingizwa toka nje, baadae zikangolewa site na kuweka Mpya...
  19. AbuuMaryam

    Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
  20. J

    Daladala nyingi za Bunju na Tegeta zimekodiwa na CHADEMA, kuna nini leo jijini Dar es Salaam?

    Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA. Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana...
Back
Top Bottom