teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuklia zina ubabe; Teknolojia ya kuzuia madhara ya silaha za nyuklia italeta mapinduzi makubwa katika uwanja wa vita

    Katika vita ya uvamizi inayoendelea kufanywa na Urusi nchini Ukraine ilifikiriwa na wengi ungekuwa uvamizi rahisi ambao ungedumu siku chache na Putin angetimiza malengo yake kwa gharama ndogo na kwa muda mfupi lakini uhalisia haujawa hivyo, jeshi la Urusi lilikouwa linaonekana kuwa imara sana...
  2. Ni muda muafaka wa kuachana na sifa za ujenzi wa madarasa na badala yake tujikite kwenye teknolojia za ulinzi wa Taifa

    Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi. Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu...
  3. TECNO Yatangaza Teknolojia ya Ubunifu ya Kuongeza Ufanisi wa RAM na Programu

    Kampuni ya simu TECNO ilitangaza kutolewa kwa teknolojia mpya ya upanuzi ya Random Access Memory (RAM) kwa watumiaji wake ili kuongeza uwezo wa RAM wa simu zao kwa ufanisi bora. Teknolojia hii bunifu itapatikana kwa watumiaji wa CAMON 18 na SPARK 8 katika muda wa wiki mbili zijazo. Teknolojia...
  4. TECNO yatangaza teknolojia mpya ya RGBW camera sensor + glass ambayo imetengenezwa kwa ushirikiano na Samsung kwenye mfululizo wake wa CAMON 19

    Barcelona, Uhispania, Februari 28, 2022 - Wakati wa toleo la hivi karibuni zaidi la Kongamano la Dunia la Simu (MWC 2022), moja ya matukio makuu katika ulimwengu wa teknolojia ya simu, TECNO Mobile, mtengenezaji wa simu za kisasa wa hali ya juu kabisa tulitangaza kuwa teknolojia ya kichujio cha...
  5. L

    Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yawa jukwaa la kuonyesha uvumbuzi wa teknolojia ya China

    Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
  6. Hamna kitu hauwezi kujifunza kwa teknolojia tuliofikia

    Kubali ama ukatae kunajambo ulisha wahi kulipia ili mtu mwingine akusaidie ukaona kabisa hapo umepigwa na kitu kizito kichwani.😭 Namaanisha ungetuliza tu kichwa mwenyewe na ukajifunza tena kwa dakika tano tu, ungeweza kukifanya hicho ulicholipia elfu 30, mtu mwingine akusaidie tena chepesi tu...
  7. Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    UTANGULIZI Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata kama ni padogo kiasi gani. ⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini...
  8. Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
  9. Teknolojia za wizi wa magari. Usiache kupitia hapa kujifunza

    Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako. Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja. Tech...
  10. Februari 11: Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi

    Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
  11. L

    Kutangaza kwa lugha nyingi na kukumbatia teknolojia kutadumisha umuhimu wa radio

    Na Ronald Mutie Tarehe 13 Februari ni Siku ya Radio Duniani, na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limechagua kauli mbinu ya Siku hiyo kuwa ni “Ndio kwa Redio, Ndio kwa Uaminifu”. Tafsiri yake ni kwamba, bado radio inaendelea kuwa chombo muhimu cha kupasha...
  12. Cyberbullying: Umewahi kufanyiwa unyanyasaji kupitia Mitandao? Ulichukua hatua gani?

    Uonevu au Unyanyasaji kupitia Teknolojia unaweza kutokea kwenye Mitandao ya Kijamii, Majukwaa ya kutuma ujumbe, ya michezo na hata kupitia simu za mikononi. Ni tabia ya kujirudia inayolenga kumtisha, kumdhalilisha au kumkasirisha mlengwa Mifano ya Uonevu huu ni pamoja na kusambaza uongo au...
  13. Teknolojia na Afya ya Akili: Kwanini matumizi yaliyopitiliza huweza kuwa na athari mbaya

    Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara. Mitandao ya Kijamii ni mojawapo ya njia kuu ambazo Intaneti huathiri Afya ya Akili. Hii hutokea...
  14. Je, kwanini Mihimili hii ya nchi imekuwa na muda tofauti wa kutumia teknolojia kufikia wananchi?

    Haya wadau, Ikulu ambayo ni serikali kuu imejiunga Youtube Desemba 22, 2012 wakati Bunge TV imejiunga Youtube Mei 12, 2017. Wakati huo tunapaswa kujua Bunge ndilo linawasemea wananchi hivyo tunapaswa kujua wanasema nini lakini tofauti ya wao kujiunga ni miaka mitano. Aidha kwenye upande wa...
  15. Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

    Salute Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba vile viumbe vya ajabu kwenye muvi hizi nilizotaja ni watu waliovaa vinyago/costume natumaini sio mimi...
  16. L

    Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  17. Waziri Mkenda: Hii sio Wizara ya Elimu tu, bali Elimu Sayansi na Teknolojia kwa mapana yake

    Prof. Adolf Mkenda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka Wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ujasiri bila Uoga, Kwa utii Uaminifu na Uadilifu, Wasifanye kazi kwa nidhamu ya Uoga. Ameyasema hayo leo 10 Jan 2022 Jijini dodoma alipofika Ofisini kwake baada ya kuapishwa ma Rais Samia...
  18. S

    Natafuta kazi nina Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari

    Habari Ndugu Zangu, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 24 nina ishi mkoa wa Dar es salaam. Nilihitimu masomo yangu katika ngazi ya Diploma ya Komputa na Teknolojia ya Habari (Diploma in Computing and Information Technology) katika chuo xx. Pia nina mafunzo na kuhitimu Kwa kuwa na...
  19. J

    #COVID19 Teknolojia ya 5G haienezi COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G. COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...
  20. N

    Kumbe wenzetu ngozi nyeupe wanaendesha teknolojia kwa uchawi, leo nimeshuhudia kwa macho yangu

    Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini. Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…