Jumuia ya Waislamu duniani kote imekuwa katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Hapa Tanzania na Afrika Mashariki nzima sikukuu ya Idi inatarajiwa kuwa Alhamisi au Ijumaa, kutegemea na kunadama kwa mwezi.
Swali langu ni kwamba kwa nini sayansi na teknolojia isitumike kufahamu mwezi...
DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini...
Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini.
Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G.
Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
Katika hili lazima tuwe wawazi.
Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani.
Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa kuendesha bodaboda. Jamani hata serikali ina support kujiajiri kwa namna hiyo.
Hii ndio sera...
Mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote.
Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko...
Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite
Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha
Waziri...
Zamani kule vijijini tulizoea kuweka pazia au milango ya mguu pande mguu sawa na hakuna mwizi aliyethubutu kuvunja! Na aliyethubutu kufanya hivyo cha moto kilimpata.
Hii haina tofauti na sasa, teknolojia imekuja na milango ya vioo! Ni yale yale kama yetu lakini huku yamekuja kwa sura ya kioo...
Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana kama Sourthern Africa Telecom Association (SATA) ambapo nchi ya Tanzania kupitia Shirika la...
Kuna teknolojia ipo kitambo ya kuendesha magari na hats mitambo mingine kwa kutumia maji ambapo kifaa hufungwa kuunganisha tenki dogo la maji na injini ya gari.
Kifaa hiki hutenganisha elements mbili zinazotengeneza maji yaani Hydrogen na Oxygen (H2O) na kutumia Hydrogen ambayo ni gesi...
Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan,
Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi wa umma na utawala bora.
Hoja yangu kwa kirefu kidogo: napendekeza uanzishe Shindano La Ubunifu...
Habari wakuu,
Kuna msemo umezoeleka kwa Mambo fulani kwamba tunataka kutekeleza jambo fulani lakini hatuna teknolojia ya kuwezesha jambo hilo kufanyika.
Mfano raslimali yetu ya madini tunataks kuichimba wenyewe lakini hatuna teknolojia hiyo. Huwa najiuliza swali: teknolojia ni kitu mtu...
Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii?
Kwanini mitandao mingi imekaidi?
Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
Habari 👋
Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari.
Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
Katika enzi hii ya teknolojia, kila siku tunaona mabadiliko mapya katika maendeleo mapya. Kasi ya kuvutia tunayoona, haswa katika teknolojia ya mawasiliano inashangaza sana. Na hapa ndipo 5G inapoanza kucheza. Lakini kabla ya kuingia kwenye mada, lazima tuelewe ni nini 5G kwanza. Kwa hivyo, bila...
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.
Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.
Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira.
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoruhusu kuajiriwa au kufukuzwa kazi kwa mfumo wa kompyuta, Muungano huo...
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.