teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Youngblood

    SoC01 Athari za kukua kwa Teknolojia na Uhuru wa kupata Habari

    Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu. Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa utandawazi, teknolojia pamoja na huduma za intaneti zimeboresha kwa kiasi kikubwa hali iliyochangia...
  2. K

    SoC01 Pendekezo: Ianzishwe Wakala wa Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Vijijini

    UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali. Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
  3. Tomaa Mireni

    Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

    Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa. Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta. Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
  4. T

    SoC01 Matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika uvuvi

    Ikiwa suala la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa sio tu nchini bali pia nchi jirani, ni wazi kua kujiajiri imekua fursa pekee kwa vijana kujipatia kipato. kwa bahati nzuri tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji ambavyo vinatupatia mazao ya majini ikiwamo samaki. Wavuvi wadogo nchini wamekua...
  5. Allist

    SoC01 Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi kuendana na Kasi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology)

    Mifumo yetu ya malipo, Benki, utumaji pesa na ulipaji Kodi iendane na spidi ya Teknolojia (kutumia Blockchain technology). Blockchain technology ni teknolojia mpya iliyogunduliwa mwaka 2008 na kushika kasi kuanzia 2014, ni mfumo madhubuti ambao ni ngumu Ku hack na kuiba data au pesa. kwa...
  6. Quavohucho

    SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  7. mhinirama

    Kujifunza teknolojia kuendana na karne ya sasa

    Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao. Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya picha na pia utengenezaji wa video zinawapa watu faida kubwa kama watumiaji wa...
  8. Sam Gidori

    Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga muwe na aibu, ogopeni teknolojia

    Yanga ikianzisha mpira wa haraka na kujipatia goli. Wakifanya wao sawa,wakianzisha wengine sio goli. Hakika hawa ni Utopolo
  10. B

    #COVID19 Suluhisho dhidi ya kuchochea maambukizi ya Covid-19 nyakati za usaili wa kazi

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda. Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa. Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam. Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
  11. J

    Wahariri wapigwa msasa kuifahamu Wizara ya Mawasiliano na Technologia ya Habari

    WAHARIRI WAPIGWA MSASA KUIFAHAMU WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI Na Mwandishi wetu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imefanya mkutano na wahariri wa vyombo vya habari nchini kwa lengo la kuwajengea uelewa ili waifahamu Wizara hiyo, taasisi zilizo chini ya Wizara...
  12. beth

    Teknolojia: Wazazi wanawalinda Watoto ipasavyo mitandaoni?

    Mitandao inaweza kwa mizuri kwa watoto katika masuala mbalimbali ikiwemo ya Shule, lakini inakuja na hatari mbalimbali ikiwemo uonevu wa mitandaoni (Cyberbullying) Wazazi wanapaswa kufahamu kile Watoto wanaona na kusikia mitandaoni, watu wanaokutana nao pamoja na taarifa ambazo Watoto wanazitoa...
  13. L

    Harmony OS 2 yaonesha kwamba China inajitegemea katika uvumbuzi wa sayansi na teknolojia

    Hivi karibuni, kampuni ya Huawei ya China imetangaza rasmi mfumo wa simu ya kisasa Harmony OS 2 na vifaa kadhaa vinavyotumia mfumo huo. Hatua hii sio tu inamaanisha simu na vifaa vingine vinavyotumia mfumo wa Harmony OS 2 ni bidhaa rasmi inayoingia katika soko, bali pia ni alama kwamba Huawei...
  14. Linguistic

    Je, Kilimo ni ajira?

    Uchumi wa viwanda unakuja baada ya kupitia hatua kadhaa wa kadha,uchumi wa viwanda unajengwa kuanzia kwenye mitaala na sera,sera ya elimu zinazohakisi uhalisia wa teknologia ya viwanda. Itakuwa ngumu kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kama hatuwezi kupitia hatua muhimu.
  15. Regent

    Mexence Melo: Mabilionea wajao Tanzania watatokana na Teknolojia

    Maxence Melo Mkurugenzi wa JamiiForums na Mwanzilishi mwenza akiwa kwenye Interview CloudsTzv amesema: "Mabilionea wanaokuja sasa hivi Tanzania watatokea kwenye teknolojia, hivyo Serikali iweke mazingira wezeshi" Je, huu msemo unaendana na wakati? ''Kama munaitaka mali mutaipata shambani''...
  16. L

    #COVID19 China yaendelea kutimiza ahadi yake ya kusaidia nchi za Afrika kupata chanjo ya Covid-19 na kuhamisha teknolojia

    Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga pamoja kwenye utoaji wa chanjo. Kama sehemu ya Ushirikiano wa Kusini na Kusini, China iliahidi...
  17. Anonymous

    Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
  18. beth

    Nusrat Hanje: Tanzania bado tunalima kama ilivyolimwa Eden

    Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia. Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo...
  19. Upepo wa Pesa

    Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  20. wazanaki

    Dhana ya teknolojia kudidimiza ajira imekaa kinjama

    Lets say tuna nchi yenye watu 60m. Wananchi wanaendelea kufanya shughuli zao kama kawaida. Kuna watu wanasaga mahindi kwa kutumia mawe, watu wanatumia vibatari kwa ajili ya mwanga, watu wanatumia usafiri wa punda. Kila kitu kikawa kiko slow na watu kutumia nguvu nyingi kuzalisha kutokana na...
Back
Top Bottom