tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luis Miquissone kutambulishwa Yanga kama mchezaji wao mpya

    Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga. NB: Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
  2. Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12

    Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania. Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa. Changamoto hiyo...
  3. Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa. Kitenge ametumbia...
  4. Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  5. Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  6. Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

  7. Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

    Habari wakuu na wanajamvi, Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza...
  8. M

    Kama hii Tetesi niliyoisikia kutoka Magerezani ni kweli, leo Moto utawaka Uwanja wa Nelson Mandela huko Sumbawanga

    Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na Mshahara Kuongezeka. Israeli na Roho ya Mtu leo huko Rukwa.
  9. Kocha Noureddine Al-Nabi atua Yanga

    Mabingwa wa Kihistoria, Timu ya Wananchi, Vijana wa Jangwani na Vinara wa Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Young African Sports Club wanadaiwa kumpa mikoba Kocha, Nasreddine Nabi iliyoachwa na mtangulizi wake Cedric Kaze. Nasreddine Nabi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya El Merreikh atachukua...
  10. M

    Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  11. Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

    Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka. Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize. Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
  12. Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  13. K

    Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Wakuu salama Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
  14. Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
  15. Wale wanafunzi waliohamishia NGURDOTO toka Njiro, kuhamishwa tena.... tetesi zinasema, safari hii ni Arusha University

    Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi...
  16. T

    Mzimu wa Hayati Baba wa Taifa ukifufuka kila mtu ataingia chini ya uvungu

    Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake. Kutokana na vile aliona mengi Mwalimu aliona miaka miamoja ya Taifa hili hivyo aliweka mikakati yakuhakikisha...
  17. M

    Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

    Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum. Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima...
  18. Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Vyanzo vyangu vimenipa habari mbichi Senzo Masingiza yupo chini ya ulinzi katika moja kati ya vituo Dar es Salaam akihojiwa kuihujumu Simba Sc.
  19. Daily News: Zaidi ya watu milioni 10 nchini wanaweza kushtakiwa kwa kutumia VPN

    Ingependeza zaidi kwa wale waliojihusisha na matukano, pia maisha ya dunia yetu kwa sasa watu wengi huitaji mtandao si kwa ajili ya kutizama mambo yao ya kisiasa watu wengi hutumia mtandao kwa ajili ya kuendeshea biashara zao mbalimbali au opotunuty seekers ajira na kadhalika just imagine once...
  20. Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

    Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…