Why hizi teuzi zote asizifanye ndani ya siku na hata kama kutakuwa na interver ya kuwaapisha?
Je, teuzi ni sehemu ya mafanikio ya nchi? Tujivunie teuzi kama moja ya nchi kupitia hatua?
Make awamu iliyopita ilikuwa nayo kila wiki ni teuzi ila tofauti na ile awamu Mwenda zake alikuwa anatengua...