thread

  1. DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

    Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
  2. Special Thread: Mashine za aina zote katika miradi midogo na mikubwa

    Habarini wakuu, Nimeamua kuandaa uzi collective kwa ajili ya mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika shughuli mbalimbali hapa nchini. Nitakuwa natoa maelezo ya machine pamoja na picha (muonekano) na bei yake Post ntazipanga katika sytematic order ambayo itawezesha mtu kupata picha ua...
  3. Vyakula/matunda na tiba zake special thread

    Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia Kiukweli ni...
  4. Uzi maalumu kwa single mothers: Single Mothers Special Thread

    Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
  5. J

    Mbowe: Wabunge wamejiongezea Mishahara Kutoka Tsh milioni 13 za awali na sasa wanalipwa Tsh milioni 18 kwa mwezi mbali na posho

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Wabunge wa Bunge la JMT wamejiongezea Mishahara kutoka TSH 13 million walizokuwa wanalipwa awali hadi TSH 18 million Mbowe amesema mshahara huo ni mbali na Posho mbalimbali wanazolipwa kila Siku Jumaa Mubarak πŸ˜€πŸ”₯ ---- Mwenyekiti wa chama cha...
  6. L

    Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

    Wadau wa JF, Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi. Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...
  7. Iconic Movie scenes and trailers special thread

    Wakuu niaje? Karibuni tukumbushane baadhi ya scene kali kabisa kwenye Movies zetu pendwa. Leo mimi nadondonsha scene hii fupi kutoka Shaolin Soccer. Unaikumbuka?
  8. Leap year Special Thread

    Kwa wote tunaotambua nguvu iliyojificha kwenye namba. Uzi huru kutupia chochote unachoamini ni mafanikio kwako, usikate tamaa jibidishe kwani huu ndo mwaka wa neema kwa wanaojituma. Pia usiache kumshukuru Mungu kwa kila hatua unayopitia.
  9. Taarab: Special thread

    Hii ni special thread Kwa wapenzi wa muziki wa mwambao wa Pwani. Natoa nafasi - Zuhura shaabani
  10. Love songs thread

    Nyimbo za kingereza pekee za kimahaba. Come together - Chris Brown ft H.E.R Come through - H.E.R ft Chris brown Zingatia ni nyimbo za kingereza pekee
  11. Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

    Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala. Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu. Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
  12. Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  13. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    MOROCCO NATIONAL FOOTBALL TEAM πŸ‡²πŸ‡¦ HONORS: Tafadhali, wenye elements za ubaguzi wapite pembeni, uzi huu hauwahusu!
  14. Morocco National Football Team (The Atlas Lions) Special Thread

    Moderator kuna thread mbili zimeniijia, naomba ufute hii ambayo haina chochote ndani yake
  15. Mafuriko Thread: Picha za mafuriko sehemu mbalimbali ulimwenguni

    Huu ni uzi maalumu kwaajili ya kupost picha za mafuriko sehemu ulipo. TUPIA PICHA ZINAZOONYESHA MAFURIKO YA MVUA SEHEMU MBALIMBALI ULIMWENGUNI.
  16. Naomba kuuliza hili tatizo la thread zangu Mpya ninazopost lipo kwangu tu au Mimi ndo sijui namna ya kuview my post status.

    Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
  17. 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  18. Special Thread: Happy New Year 2024, Wishes to JF Members

    Dear JamiiForums Members, As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where your aspirations paint vibrant hues of success and fulfillment. May the threads of connection...
  19. Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…