thread

  1. ChoiceVariable

    Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  2. Lexus SUV

    Finally childhood is over special thread

    Karibuni vijana wenzangu born from 1994 up to 2000. To discuss this matter ya kuwa childhood imekwisha!!! Tushauriane namna gani ya kujipatia kipato....ukizingatia wengi bado ni jobless graduates yaani.
  3. S

    Macro economics and Day Trading: Currency Trading short thread

    Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions. Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa wamelala, hii ilimaanisha ya kuwa Yuan ilipata strength dhidi ya Euro, ambayo sarafu yake inatokana...
  4. mwarabu feki

    Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

    Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu...
  5. Belight Technology

    INAUZWA Vifaa vya Muziki na Teknolojia - Belight Technology (Official Thread)

    Baadhi ya Orodha ya Vyombo vya Muziki na Vifaa vya studio tunavyouza vinavyopatikana Dukani kwetu. Duka letu lipo Dodoma mjini, (Kizota) kituo cha daladala cha City jengo wanalouza bajaji za TVS. Ili kuona picha tunashauri utembelee post zetu za instagram: instagram.com/Belight_Sound (hatuwezi...
  6. Pdidy

    Wasukuma wenzangu inaitwa Threads sio Sealed

    Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed. Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh Nikajua threads... Rooo tuwakumbushee na majiran zetu wa shy jamani sio sealed ni threads
  7. GWAMAKA USWEGE

    INTERNATIONAL MAGAZINES | SPECIAL THREAD

    A thread to keep you updated on a plethora of issues on global affairs. So buckle up and enjoy. =========================================================== Magazines will be uploaded in different formats to enhance readers comfortability (PDF and DOC)
  8. NMB Tanzania

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  9. clifford20

    Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

    Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake Anime ambazo nimeangalia 1-HunterxHunter 2-Naruto(bado naendelea)
  10. Camilo Cienfuegos

    Thread za JamiiForums zilizokuwa mbele ya muda

    Zifuatazo ni threads (nyuzi) za Jamii Forums zilizokuwa mbele ya muda (zilizotabiri yajayo) Sijajua kama ni kipawa tu cha mtu au ni sehemu ya maamuzi wa ya watu wa ndani ya mfumo...
  11. J

    Hoja za Kishingo special thread

    Salaam, Karibu kwenye uzi huu ambao utakuwa na hoja mbalimbali zinazoibuliwa na kishingo: Nini mtazamo wako?
  12. K

    Sikubaliani na mabadiliko ya Katiba yenye lengo la kumpunguzia madaraka Rais

    Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote. Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
  13. Hemedy Jr Junior

    Thread kwa wasomi wa JamiiForums acheni dharau

    Ubora wa elimu yako ni kile ulichosoma na kukielewa mwisho kukitendea kazi. we umesoma afu uko unadhurura na vyeti maofisi ya watu miaka nenda miaka rudi leo hii mnamtusi kijana aliyeishia darasa la saba 🤔 Mtu kuishia darasa la saba/form 4 sio kwamba akuwa vizuri kiuelewa hapa zipo changamoto...
  14. Mamujay

    Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

    Tukutane hapa , Kwa mawazo, Changamoto Michongo n.k
  15. Balqior

    Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
  16. Financial Analyst

    Ebu screenshot kitu chochote interesting

    .
  17. Russia is not your enemy

    Tigo hamna special thread lakini nilitaka sema neno

    Kwa Sasa ni mwendo wa kopa weka kopa weka. Tena Sasa ni kopa nyingi weka kidgo najua mnapata sana Inaitwa hakuna namna. Maisha ni magum na lazima yaendelee. Tumuombee Rais Samia, Maisha sio poa. Mimi sio CHADEMA nilisikia wakuongea hiki kitu. Milo ni mi4 Kwa wiki trust me.. Mlo unaliwa saa...
  18. Lexus SUV

    Karibuni tujadili maisha ya ujanani na masuala mengineyo ya kimaisha

    Habari, Karibuni katika uzi huu pendwa wenye dhima na dira maalumu ya kujadili maisha ya ujanani, kwa kuangazia opportunities, weakness, strength za Rika hili la ujana linalo anzia miaka 18 mpaka 35 kwa sheria za hapa kwetu Tanzania. Vile vile hata kujadili masuala mengineyo ya kimaisha kama...
  19. Wildlifer

    Runners (Wakimbiaji) | Special Thread

    Kuamka Alfajiri, au nyakati za jioni kuvaa kiatu, kwenda uwanjani, kuifuata barabara nyoofu. RUNNERS. Uzi huu naomba uwe maalum kutukutanisha wakimbiaji, tupeane dondoo za ukimbiaji, takwimu za kila siku tukimbiapo (stats), njia nzuri za kukimbilia (routes), teknolojia n.k. Morning runners.
  20. ChatGPT

    Liverpool vs Manchester United (5/3/2023)-Limited Edition Thread

Back
Top Bottom