Ladies and gentlemen, Tupia lyrics zako pendwa kweny comments, jina la nyimbo na performer wa hio nyimbo.
Sio lyrics za nyimbo nzima, just kipande tuu unachokipenda ambacho hata ukiwa maybe ofisini unafanya shughuli zako huwa unakiimba.
Lyrics za nyimbo yeyote, Either Bongo Fleva or...