tiba asili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zijue Tiba asili kwa watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia)

    Hellow wakuu, Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike, Kukosa usingizi sio...
  2. V

    Tiba katika kituo cha Tiba asili cha Wakorea kilichopo dar (Kibamba?) zipoje?

    Salamu Wana jukwaa... Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana. Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo ni ghali. Naombeni ushauri
  3. SI KWELI Dawa zote za tiba asili ni salama kwani hazina kabisa kemikali

    Wakuu nimekuwa nikiona watangaza bidhaa za dawa za tiba asili wanadai dawa zao hazina kemikali kabisa na kusisitiza watu kutumia hizo badala ya za hospitali ambazo huwa na kemikali. Nimekumbuka baada ya kuona Heparin ameandika kuwa dawa zote za asili huwa ni salama kwa silimia mia na hazina...
  4. N

    Jina la huu mmea kwa watu wa kanda ya ziwa

  5. U

    Waganga Tiba Asili kukutana Chalinze, kutoa huduma za kitabibu bure

    Waganga Watafiti wa Tiba Asili wapatao 250 kutoka Afrika wanakutana nchini Tanzania kutembelea Mzimu wa Afrika uliopo Chalinze mkoani Pwani na kutoa huduma za kitabibu bure kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa sugu. Hayo...
  6. Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  7. Waganga wa tiba asili warusha vijembe kwa wachungaji na manabii

    Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli. Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa serikali wa wilaya ya Sumbawanga wamesema chumvi na maji wanayowauzia waumini wao haina upako wo wote. Pia...
  8. SoC04 Tiba Asili na Mbadala Ijumuishwe katika Mfumo wa Afya Kikamilifu, Ili kuboresha Afya ya Watanzania

    Utangulizi Kipindi cha ukoloni, watawala wakishirikiana na wamisionari (waliokuwa wanaeneza dini tofauti na zile za asili), walifanya kazi kubwa sana kuwaaminisha wenyeji kwamba matumizi ya Tiba asili ni ushirikina, na ni dhambi! Kampeni hii ilienda sambamba na ujenzi wa hospitali na vituo vya...
  9. Mbunge Ameir Abdallah: Tafiti zipi Taasisi za 'Tiba Asili' Zimekamilisha na Kuwa Suluhisho la Maradhi Kama Tiba Mbadala?

    Mbunge Ameir Abdallah: Tafiti zipi Taasisi za 'Tiba Asili' Zimekamilisha na Kuwa Suluhisho la Maradhi Kama Tiba Mbadala? Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wasomi nchini kubadili fikra zao kwa kutumia akili vumbuzi na sio akili kibarua ili kulisaidia taifa kusonga mbele kwa...
  10. Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  11. Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  12. Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  13. Je, katika kuboresha huduma ya afya kuna haja ya Watumishi wa Mungu na matabibu wa tiba asili kupewa elimu ya awali ya afya?

    Habari JF, Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili . Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
  14. Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines and mostly in warm countries. This grass is widely spread along river banks, settled areas and even...
  15. MUHAS:- Tafiti zinaonesha tiba asili za UVIKO 19 zilikuwa na matokeo chanya.

    Mfuko wa Utafiti wa UVIKO-19 wa Amne Salim: Jumla ya tafiti nane zimeweza kuzalishwa na watafiti mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kufuatia ufadhili uliotolewa na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Ahmed Salim uliolenga kuenzi kifo cha mke...
  16. L

    China: Tiba asili zinavyochangia huduma za afya kwa jamii

    Ukizungumzia tiba asili kwa watu wengi picha inayokuja haraka ni kwa watu waishio vijijini au jamii ambazo hazijapiga hatua katika masuala ya matibabu, lakini ukweli ni kwamba imani hii sio sahihi. Nchini China tiba asili ina mchango mkubwa katika ustawishaji wa afya sawa na ilivyo au...
  17. Zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kujitibu

    KAIMU Mkurugenzi wa huduma za tiba Wizara ya Afya Dk. Caroline Damiani, amesema, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wanatumia tiba asili kwa ajili ya kujitibu magonjwa mbalimbali kabla ya kwenda katika vituo vya kutolea huduma za afya au baada ya kupata huduma katika vituo vya kutolea huduma za...
  18. Tiba asili ina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa

    Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) upande wa taaluma Prof. Samweli Kabote akifunga maadhimisho na maonesho ya wiki ya tiba asili ya mwafrika Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye viwanja vya Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro. Mkurugenzi wa...
  19. J

    #COVID19 Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

    Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na...
  20. #COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

    Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza. Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia . Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3. Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…