Morning
Kiukweli Tigo jamani wanakera sana, tarehe 31 October mzee amenunua kifurushi cha tsh 2500 kwa njia ya Tigo Pesa, cha ajabu hela wamekata kwenye Tigo Pesa yake na kifurushi hajapata mpaka hii leo, kila anapopiga simu wanamuambia tatizo linashughulikiwa, ni wiki sasa, japo ni hela ndogo...