Wakuu nauliza tu!!
Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!!
Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech zetu hata kama ndogo kuadvance kwene uso wa dunia
Mfano ni hii JamiiForums ambayo mizizi yake ni hapa...
Kampuni ya TikTok imetangaza kwamba itasitisha rasmi shughuli zake nchini Marekani ifikapo Januari 19, 2025, iwapo Mahakama Kuu haitasitisha au kuchelewesha sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok, kuuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani.
Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19...
Tiktok imetangaza huduma zake kurejea nchini Marekani, baada ya juhudi za Trump kurefusha muda wa majadiliano mpaka hapo atakapoingia madarakani rasmi.
Sababu nyingine kubwa ya Trump kuipambania Tiktok irudi hewani Marekani ni kutaka uapisho wake hapo kesho uweze kwenda "Live" kwa watumiaji wa...
Idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok Marekani wamemtusi Mark Zuckerberg kwa kumuita mjusi wakidai yeye ndiye mfitini mkubwa wa TikTok kufungiwa ili kampuni yake ya META iongeze watumiaji
Watumiaji hao wamedai hawako tayari kutumia bidhaa za META na wengi wamefuta Application zake katika simu zao...
Vita ya makampuni ya mitandao kati ya USA na CHINA inaelekea kutamu.
Baada ya Hukumu ya kuifunga TIKTOK huko marekani hatimaye followers wa Tiktok wanahama kwa mamilionj na kujiunga na app nyingine ya kichina inayoitwa Red note.
Sambamba na kuhama wamerekani wengi wanajikuta wanagundua kuwa...
Huku marufuku ya TikTok ikikaribia, wanasiasa wa Marekani wanaoendelea kupinga China wamegundua kwamba App nyingine ya kijamii ya China ‘Rednote’ imezidi kuwa maarufu nchini Marekani. Katika siku za hivi karibuni, idadi kubwa ya watumiaji wa TikTok wa Marekani wamejiunga na Rednote, na...
TikTok inajipanga kuzima huduma ya App yake kwa watumiaji wa Marekani kuanzia Jumapili hii ya Januari 19, iwapo Mahakama ya Juu haitazuia marufuku hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya The Information.
Soma: TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au...
Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa.
Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok
Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa
Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na kuahidi kutafuta suluhu.
Tiktok yenye watumiaji takriban Milioni 170 nchini humo, inakabiliwa na amri...
Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani.
Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
Mimi ni kijana umri 26
Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma,
Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea,
Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe itaendelea kupatikana Canada. TikTok ina wafanyakazi mia kadhaa Canada wengi wao sio raia wa Canada.
Sababu...
Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili.
Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na nyanya, shangazi na wajomba. Wao, kama mimi, wana wasiwasi kuhusu usalama wa watoto wetu mtandaoni...
Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti!
Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
TikTok itafungwa 2025
TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani.
Karatasi aliyotia sign raisi wa marekani Biden kuwapa muda wachina waliounda app ya TikTok siku 270 kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.