Ni siku chache zimepita tangu USA kuja na maamuzi ya kuzuia Mtandao wa TikTok ndani ya Taifa lao
Mpaka sasa hakuna sababu za kueleweka kwamba kwa nini mtandao huo uzuiwe zaidi ya wivu na uhasama wa kibiashara
Mara nyingi USA imekuwa ikijaribu kuua maendeleo ya China kwa muda mrefu sana hata...
Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.
Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu...
Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya ByteDance yenye asili ya China.
Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha...
Dive into creativity with the best phone Features TikTok Challenge! Different Mobile invites TikTok enthusiasts worldwide to unleash their imagination, explore the dynamic capabilities to trend, and share imaginative narratives on a global stage. It's more than a competition—it's your platform...
Asubuhi nilikuwa nasikiliza redio ambapo hawa ndugu zetu walikuwa wanajadili suala la dawa za kulevya ambapo waathirika na wanaotuhumiwa watapimwa. Katika kuelezea hilo mmoja wa watangazaji, Gerald Hando akasema jambo liende kwa wizara na TCRA.
Jambo lake ni kuwa Tiktok inaharibu vijana na...
Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha maudhui kuhusu Mgogoro wa #Israel na #Palestina.
#TikTok imesema...
Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu.
Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii.
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
Mamlaka ya Senegal imechukua uamuzi huo ikiwa ni katika mwendelezo wa kupunguza nguvu ya wapinzani, siku chache tangu kumweka kizuizini kiongozi wa upinzani.
Mgogoro wa kuwania madaraka kati ya kiongozi wa Chama cha Pastef, Ousmane Sonko na Rais Macky Sall umesababisha maandamano ya vurugu na...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.
Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye...
Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa kuwa ni za usalama.
Elon Musk amesema "Sikubaliani na wowote unaohusisha kuifungia TikTok japokuwa...
Serikali ya Australia imebainisha kuwa itachukua maamuzi hayo kwa sababu za kiusalama, ikiunga na Marekani, Ufaransa na Uingereza ambazo nazo zimechukua maamuzi kama hayo.
Katazo hilo linatokana na onyo lililotolewa na Nchi za Magharibi kuhusu mtandao huo wa China wakidai unaweza kutumiwa na...
Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani
Pia, Wabunge wa #Democratic na #Republican kwa pamoja wameridhia kuwa watakaokutwa na hatia wanaweza kupigwa faini hadi Tsh. Bilioni...
Beki huyo wa zamani wa Manchester United amedai kuwa amefanya hivyo kwa kuwa anaamini mitandao hiyo inaweza kuwachanganya na kuwatoa kwenye uhusiano mzuri kutokana na aina ya mahudhui yanayoendelea
Amesema anataka kuwaweka kwenye nafasi nzuri ya kujitambua na kutotegemea maisha ya mitandao ya...
Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China
Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari.
TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
Mswada huo utamruhusu Rais wa #JoeBiden kupiga marufuku teknolojia zinazoonekana na Idara ya Biashara ya nchini humo kuweza kuleta "hatari isiyofaa au isiyokubalika" kwa usalama wa Taifa.
Serikali ya Marekani na Maafisa wa kutekeleza #Sheria wamedai kuwa TikTok, inayomilikiwa na kampuni ya...
Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023
Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China
Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia kuingilia taarifa za Serikali na kukagua maudhui.
Majimbo 19 kati ya 50 ya Marekani tayari yamezuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.