Habari ndugu zangu,
Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia)
Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga.
Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani. Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria...