timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  2. TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

    Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu. Na pia nichukue...
  3. Simba sc mpaka sasa ina vikombe vitatu ndani ya kabati, hakika hii ni timu ya mfano na timu ya kuigwa katika ligi ya Nbcpl

    Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc wametwaa kombe linguine la Muungano kwa kuichapa Azam Fc goli moja kwa nunge goli lilio fungwa na...
  4. Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  5. G

    FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito. Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
  6. Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
  7. Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  8. Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

  9. D

    Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  10. Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
  11. R

    Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

    Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani? Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
  12. Baada ya kugundua kua Hawatajaza watu mikutanoni, na Wasanii wako bize, Nchimbi, Makala na Timu yake wajikita kwenye Mikutano ya Ndani ya CHAMA!!.

    Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!. Hofu yao ni kuona...
  13. Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  14. Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  15. Timu za Tanzania tuna cha kujifunza kwenye upigaji wa penati

    Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki, Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati. Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
  16. Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

    Salama mtasalimiwa na Refa. Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize; 1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR? 2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA...
  17. Kwanini Mashabiki wa Simba nguvu zao na mijadala wameielekeza yanga na kuisahau timu yao?

    Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria? Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
  18. H

    Kwa heshima ya timu kubwa k ama Mamelodi ni Bora wajitoe hatua ya nusu fainali waliyoingia

    Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili. Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
  19. Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  20. J

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…