timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Magoma kayakanyaga kwa kuchokonoa timu inayoshinda makombe

    Yanga ni timu yenye wafuasi wengi sana wanaokwenda viwanjani kuishangilia, kulipa ada za uwanachama, kununua jezi, kulipia Yanga app na kufanya malipo mbalimbali. Lengo lao kuu la kugharamia haya yote ni kupata furaha wakati timu inashinda mechi na kuchukua mataji. Yanga inashinda hivyo hakuna...
  2. GENTAMYCINE

    Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  3. GENTAMYCINE

    Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  4. Yoda

    Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  5. Lady Whistledown

    Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

    Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018. Shirikisho la...
  6. L

    Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  7. L

    Kama kweli Simba imemsajili beki wa kulia Kevin Kijiri basi sitowakosoa tena msimu huu na nitaiunga mkono timu 100%

    Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri. Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not. Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja. Huyu...
  8. L

    Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  9. GENTAMYCINE

    Baada ya Kumsajili Mchezaji niliyemtaka Steven Mukwala kutoka Uganda sasa naomba mnisajilie Kiungo Mchezeshaji kama Haruna Niyonzima Timu itishe zaidi

    Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
  10. MwananchiOG

    Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  11. A

    SoC04 Je, ni kipi kianze uhuru wa kiuchumi au uhuru wa kujieleza? Timu ya Usimamizi wa Uchumi

    Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa pamoja. Ila linapokuja swali la uhuru upi upewe kipaumbele, jibu linakua gumu na si la moja kwa moja...
  12. Shooter Again

    Kupenda timu 2 ligi moja

    Wadau hivi inawezekana mtu akashabikia timu 2 ligi moja
  13. Camilo Cienfuegos

    Ronaldinho Gaucho atangaza kuacha kushabikia timu yake ya taifa ya Brazil

    🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”. “I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s hard now to find the spirit to watch the games”. “It’s one of the worst teams in the recent years, no...
  14. Mcheza Piano

    Murtaza Mangungu: Kiongozi pekee anayeweza kuipa ubingwa wa Africa timu ya Simba

    Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
  15. X

    ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  16. Nyanda Banka

    Manchester United ni timu bora duniani kuliko Real Madrid

    Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid Pia...
  17. G

    Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  18. G

    MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  19. JanguKamaJangu

    Mchezaji wa Timu gani atashindwa kufunga hapa?

  20. Tate Mkuu

    Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
Back
Top Bottom