Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
Salaam Wadau wa Michezo,
Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki. Taarifa hiyo nimeiona kwenye akaunti ya Instagram ya Aggy Simba na kwa SeekerTZ.
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila
Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL)
CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC
Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance
Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC
APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC
Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi
AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico
Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando
Enugu...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known.
Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
Klabu ya Simba ilitangaza kwamba beki wake Valentino Nuoma ameitwa timu ya taifa ya Burkina Faso
Lakin baada ya kufuatilia imegundulika kwamba beki huyo hajaitwa.
Najiuliza
Je nin kimetokea?
Ratiba ya Raundi ya Tatu ya Carabao Cup 2024/25 imepangwa ikishirikisha Timu 32, timu kubwa za Premier League zimepangiwa wapinzani kutoka katika madaraja ya chini ikiwemo Manchester United, Arsenal, Aston Villa, Tottenham na Manchester City.
Upande wa Liverpool, yenyewe itakutana na ‘kazi’ kwa...
Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
Yule jamaa ana courage kubwa sana ,
Yule kwanza ni muungwana sana ,
Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu,
Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa,
Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu ngapi Afrika hazitaki kuwa na kocha kama Gamondi, Nabi kwenye timu zao?
Mzize awaze kwenda ulaya sio...
Nimeona post moja huko mitandaoni nikabaki kushika tama....
Wenzetu wameona Simba walizindua AFL, na wao wakaona wasipitwe, ngoja wajizindulie CAFCL na kuna wanachama wao hai wanatembea vifua mbere.
Embu vyura kujeni mjieleze jinsi mlivyoaminiwa na CAF kuzindua mashindano.
Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu.
Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden.
#matukiolive...
Sijawahi kusikia iwe ni Arsenal au Manchester United au Liverpool FC yangu au PSG au Real Madrid na FC Barcelona au Bayern Munich au AC Milan ao hata Mamelodi Sundowns FC wakisema kuwa Timu yao ipewe muda au Mashabiki wao wawe Wavumilivu kwani Vikosi vyao Vinajengwa na miaka mingi ijayo.
Mpira...
WACHEZAJI WASAIDIWE KUCHEZA TIMU ZA NDOTO ZAO
Dube kacheza Azam misimu 4 bila kombe kacheza Yanga mechi 5 tu makombe mawili, medali mbili..
KAFUNGA magoli 3
Kumekuwa na mgongano wa maslahi binafsi ya wachezaji na maslahi ya kitimu ndio yanasababisha hizi kelele, Wachezaji wanaogopa sana kuanzia benchi au / na kupewa muda kidogo sababu mikataba ikiisha ni ngumu kupata timu nzuri lakini kocha anaweka maslahi ya timu kupata ushindi mbele zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.