Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani.
Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa.
Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
Naandika nikijua wasio na ABC ya sheria wanitupia mishale lakini sijali. Lakini Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia Migogoro ya usajili ya mwaka 1994 ikirejea 2024 Kwa timu ya Simba kuwa na mwanasheria anayetafuta Kwanza maslahi binafsi kabla ya maslahi ya timu. Migogoro ya Mohamed Mwameja na...
Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya kupumzishwa au bado hawajaripoti kambini.
Rodri, Foden, Walker hawakuwepo hata De bryune kaingia baadae sana...
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.
Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa akili kubwa;
1) Gamond aliitaji kumsoma mpinzani wake kwakuwa alikuwa ajawaona Simba na wachezaji...
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U...
Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo.
Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa nazo huchukua muda halafu na Wewe unataka ufanye Tamasha lako Kesho yake.
Kuna aina fulani ya Usumbufu...
Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths )
ANGALIZO
Nimesema...
Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo.
cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice.
Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya...
Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu.
Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi.
Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba
Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda.
Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini.
Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya wapenzi wa soka. Kuona hivyo sasa mnaongeza tu jina la mji ili kujitofautisha.
Kwa nini msituige sisi...
Nyie sinamzijua sana kejeli?
Nyie si mna midomo?
Nyie si mmesajili mnauhakika?
Tarehe 8 . 8 ni siku kuu ya wakulima hivyo siku hiyo tutahakikisha msipoleta timu uwanjani tutawafuata huko huko Njubu na tutawapeni ZAWADI za matikiti kabla hayajadondoka Ili mzipelekee familia zenu!
Ubuyu Ubwete!
Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu .
Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo .
Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis
swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.