timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    Mechi ya Simba na Asec ni Muhimu mno kwa simba na ni Nyumbani. Hakuna kocha mwingine kuipeleka timu zaidi ya Mgunda

    Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo. Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji. Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba...
  2. Buenos Aires

    Ujumbe wa mashabiki wa Afrika Al Ahly kwa Palestina

    Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri) Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu. Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati...
  3. N

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
  4. William Mshumbusi

    Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  5. David Harvey

    Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller: Yanga ndio timu tunayoitizamia kwa sasa

    Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa wapo vizuri zaidi ya hao na wasipokuwa makini wanaweza kupoteza game zote home/away. Mbali zaidi...
  6. B

    Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
  7. Kitambi chakufutia tachi

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote...
  8. Gordian Anduru

    Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

    AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi WYDAD AC(MACRON) Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
  9. John Gregory

    Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  10. Teko Modise

    TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  11. F

    Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
  12. GENTAMYCINE

    Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  13. H

    Timu zetu ziondoe hili neno 'kujitahidi' linachosha sasa

    Bila salamu. Hili neno linachosha sasa kwa timu zetu..simba na yanga ndio timu kubwa hapa bongo ziondoe hili neno kujitahidi limekuwa too much tutengeneze timu za kushindana kama wenzetu na sio timu za kuqualify kwenye mashindano fulani. Wenzetu nilichoona wana timu imara muda wote they play...
  14. N

    Yanga ni bonge la timu naipenda sana

    Habari wana yanga wenzangu. Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa. Si ghafla azizi k akawafunga mdomo,wakakimbia banda kwa aibu,sasa simba kiko wapi? Yanga ni timu ya...
  15. SAYVILLE

    Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

    Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League. Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana...
  16. lee Vladimir cleef

    Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  17. sky soldier

    Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

    Bingwa - $4,000,000 / Shilingi bilioni 10 Mshindi wa pili - $3,000,000 / Shilingi bilioni 7.5 Kuiingia nusu fainali - $1,700,000 / Shilingi bilioni 4.2 Kila timu itayotolewa mwanzoni - $1,000,000 / Shilingi bilioni 2.5 Chanzo ni CAF wenyewe CAF announces Prize Money for the Inaugural...
  18. KIXI

    CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  19. badison

    Ukurasa wa X wa timu ya Simba kuruhusu matangazo ya ngono katika comments

    Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
  20. GENTAMYCINE

    Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
Back
Top Bottom