timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  2. Zifuatazo ndiyo Timu zangu pendwa ambazo GENTAMYCINE nitazishangilia mno katika AFCON ya 2024 Ivory Coast

    1. Morocco 2. DR Congo 3. Zambia Kwanini? Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi. Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau. Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
  3. Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  4. Kocha Robetihno Oliviera fundi jezi no 7 aliecheza na Nyota wa Brazili Zicco timu ya Flamingo ya Brazil

    Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana. Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote. Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka. Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
  5. RT yakabidhi vifaa vya mchezo wa Riadha kwa Timu mbili zinakwenda Japan na Uswisi

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland. Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
  6. R

    Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

    Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli. Leo Ac...
  7. Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  8. S

    Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
  9. Kinachoniuma ni kwamba Timu zote nilizopangiwa 'hazirogeki' na wala 'hazihongeki' kama zile za kule CAFCC

    1. National Al Ahly SC (Egypt) 2. CR Belzoud FC (Algeria) 3. Club Medeama (Ghana) 4. Ihefu FC (Mbarali Tanzania) Kudadadeki.....!!
  10. Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
  11. Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

    Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi...
  12. 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  13. Simba mwacheni Robetino asuke timu ya kujivunia

    . ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba eti Robetino hafai.. Mkithubutu kumuachisha kazi Robetino basi mtegemee hata Namungo na geita gold...
  14. S

    Timu zilizofuzu hatua ya makundi CAFCL ni zipi?

    Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika. Karibuni.
  15. Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  16. Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

    Hebu tujionee wenyewe.
  17. Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  18. K

    Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  19. TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

    Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
  20. Toa ushauri kwa kocha wa Simba timu iwaje.

    Watu wengi wanamlaumu sana Kocha wa Simba jinsi anavyopanga timu na chaguo la wachezaji anaowachezesha kipindi cha kwanza au cha pili. Shutuma ya pili ni mbinu za kimchezo anazotumia Kocha huyo. Kuna watu wanaona Simba inacheza kimparaganyiko na taratibu sana. Jee Kocha Roberthino afanye kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…