SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...