Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia.
Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo. Wydad, Al Ahly, Esperance na USMA, ni miamba wengine wa Africa wamewahi kupewa adhabu ya namna hiyo...