Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda.
TFF badala ya kuchukuwa...
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.
Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama.
Maswali ya kujiuliza.
Kwanini CCM wametikisika baada Lisu kutangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa CHADEMA?
CCM inafaidika na nini...
Mashabiki wa timu fulani wanatia huruma wakiongozwa na memba mwenye namba tatu kwenye id yake.
Au ndio tuseme wameshajikatia tamaa na timu yao. Yani wameshupaza shingo kuisemea simba kisa bravo kampiga costantine.
Usitafute furaha kwenye timu isiyokuhusu sana mnajiaibisha.
Msifanye tukaamini...
Nashaangaa mpaka sasa viongozi simba hawaoni.Nimeandika nyuzi nyingi za kuhusu fadlu na kuja kuua vipaji..
Sasa uwezo wa Chares Auwa, Balua na Kijili unashuka sana. Ata ateba sio alivyokuja
Hadi Mavambo kocha anasema eti jitumi.
Viongozi Simba oneeni huruma fedha za Mooo.
Kama hamuwezi...
Nakumbuka timu yetu ya darasa miaka hiyo tukiwa Chuo, Ile timu tulikuwa na wachezaji 10. Hatukuwa na Subs, Ili tutimie 11 kwa mjibu wa utaratibu, ilikuwa tunalazimika kumuweka mtu Ili tu kutimiza idadi ya wachezaji.
Inashangaza timu kama yanga wanafanya kile tulichokuwa tunafanya, Kibabage...
Nimejiuliza sana sijapata jibu hivi Kwa Sasa hivi Kuna timu ya kuifunga hii arsenal ya Sasa maana naona Kila mtu anachezea kichapo arsenal inaenda kubeba ubingwa wa uefa na Kwa sababu Kwa uwezo wanaoonesha uwanjani ni hatari sana
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake.
3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
Prof Janabi anatosha WHO. Nashauri timu ya kampeni iwe na watu wenye exposure ya Kimataifa haswa. Huku Peramiho tunawaunga mkono.
PIA SOMA
- Ikitokea tukapewa nafasi nyingine, Prof. Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndugulile DG-WHO
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa
Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo
1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀
2 Whatsapp channel 😀
3 Kibegi
Mtani Sasa rasmi hatapata...
Wakuu
ZFF wamekuja na mfumo mpya wa Mapinduzi Cup!
Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa 2025 itashirikisha timu za Taifa na sio vilabu kama ilivyozoeleka ambapo michuano hiyo itachezwa kwa mtindo wa makundi, nusu fainali na fainali itakayopigwa Januari 13, 2025 na mechi zote zitapigwa katika...
Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao!
Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza.
Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira.......
Ila tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.