tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Mchezaji ambaye amesajiliwa na kocha mmoja katika klabu tatu tofauti nyakati tofauti

    Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu. Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
  2. KUKU_UFUGAJI

    Tofauti kati ya mwanamke na mwanaume

    Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume. Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi sana wakishinikiza u saw a kati ya mwanaume na mwanamke. Dunia ya sasa ina wasomi wengine lakini vitu...
  3. R

    Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

    Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI". Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
  4. Teko Modise

    Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  5. Kaka yake shetani

    Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

    Hii nchi sijui shida hipo wapi yani kuwepo kwa mgodi mkubwa hapo geita na kiwango cha dhahabu inayotoka ni tofauti na mkoa wenyewe hapa geita mjini. nyumba za ovyo kwa wananchi,mazingira mabovu hakuna mipango miji na matukio yaliyopo huku hakuna toofauti na kongo kule goma. nimefika ila mpaka...
  6. Member71

    Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  7. Nyendo

    Pre GE2025 Umewahi kumpigia kura mgombea wa chama kingine sababu uliona anafaa zaidi kuliko wa chama chako?

    Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi. Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
  8. Papaa Mobimba

    KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  9. chiembe

    Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  10. emmarki

    Ipi tofauti kati ya Green House na Shade House?

    Watalaamu, naomba utofauti wa shade house na green house, ipi ina faida kuioperate.
  11. E

    Kwanini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"?

    Kwa nini Mapinduzi ya Zanzibar huitwa "Mapinduzi Matukufu"...?
  12. MK254

    Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

    Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu. Sasa wameanza kupiga. Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya...
  13. matunduizi

    Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
  14. Kibosho1

    Tofauti ya kichuri na kichiri hii

    Hivi sio vyakula bali ni vichocheo vya kula nyama zaidi. KICHURI Kichuri kinatengenezwa na kutokana chakula ambacho hakijameng'enywa ndani ya tumbo la mnyama kinachanganywa na ndimu au limao, pilipili na nyongo kinapashwa kwenye moto kinachujwa na baada ya kuwa tayari kinapendeza zaidi ukila na...
  15. GENTAMYCINE

    Kwanini Watoto wanaaminika 100% wakitoa Ushahidi wao Mahakamani tofauti na Sisi Vijeba / Wazee?

    Nahitaji sababu ya Kmantiki kabisa iliyoshiba Elimu Kubwa ya Kisaikolojia na Uhalisia wa Moyo, Roho na Akili ( IQ ) ya Mtoto. Na mkinipa sababu iliyozoeleka na Wengi kuwa Watoto hawaongopi na ni wasema Kweli daima nitaikataa kwani kuna Mtoto leo Kanidanganya kuwa Baba yake ninayemdai hayupo na...
  16. Escrowseal1

    Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia: Walioathirika na mafuriko Hanang ni Waathirika sio Wahanga

    Lugha adhimu ya Kiswahili, Rais Samia Suluhu Hassan akielezea tofauti ya Waathirika na Wahanga kwa kilichotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara. Amesema hayo baada ya watu wengi kutumia neno “Wahanga” wa mafuriko badala ya “Waathirika”.
  18. aka2030

    Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

    Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia Hapo ndio tofauti inapoanzia Azam...
  19. Gordian Anduru

    Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  20. Ricky Blair

    Tofauti ya mwizi na tapeli

    Tofauti ya Mwizi na Tapeli ni nini?
Back
Top Bottom