tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini tofauti na uhusiano uliopo kati ya Yesu, Allah na Yehova.?

    Kuna wanaosema Yesu ni Mungu, na wapo wanaosema Allah ni Mungu. Pia kuna wengine wanaosema kwamba Yehova ni Mungu. Je tunaweza kuwa na miungu watatu na wakawa na nguvu moja? Je nini uhusiano uliopo kati ya watatu haWa? Mimi naona hawa ndio chanzo cha ukosefu wa amani duniani.
  2. Webabu

    Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  3. mugah di matheo

    Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

    Ugaidi ni nini? Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn Udikteta. Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo...
  4. P

    Leo nimenusurika kutapeliwa na madalali wawili tofauti, kuweni makini!

    Wakuu salama, niwape story kwa yaliyonikuta leo inaweza kumsaidia mtu. Katika harakati za kutafuta nyumba maeneo ya Mbezi Beach nikakutana na madalali wawili kwa nyakati tofauti maeneo ya Makonde. Dalali mmoja akawa amenionesha nyumba stand alone ya vyumba 3 kwa kodi ya 500k kwa mwezi upande wa...
  5. The Assassin

    Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  6. TUKANA UONE

    Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!. Ninawafahamu jamaa...
  7. PromiseLand

    Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  8. MamaSamia2025

    Video: Huyu kijana wa Arusha kaongea mambo makubwa tofauti na matarajio ya wengi

    Tazama video usikilize. Kaupiga mwingi.
  9. B

    Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  10. Escrowseal1

    Nini tofauti ya trade deals zinazofanywa na nchi za kiafrika ukilinganisha na zile zinazofanywa na nchi zilizoendelea

    Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu. Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
  11. matunduizi

    Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  12. Nyani Ngabu

    Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  13. LIKUD

    Juma Nature ni Genius: Fahamu kwanini Juma Nature hujibu maswali tofauti na alivyoulizwa na Sababu za kiroho kwanini Juma Nature alianzisha TMK

    Part one: Kwanini Juma Nature hujibu baadhi ya maswali tofauti na anavyo ulizwa? Juma Nature ni akili ya kesho. Unahitaji kutumia akili nyingi sana kumuelewa Juma Nature. Ukijaribu kumuelewa Juma Nature kwa kutumia akili ndogo basi hutomuelewa maisha yako yote. This is because, Juma Nature...
  14. Zekoddo

    Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  15. Idugunde

    CHADEMA kwa sasa ikishiriki chaguzi yoyote hapa nchini inaweza kupata ushindi mkubwa tofauti na Mwaka 2020 ilipokuwa imepuuzwa na wananchi

    Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania. Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu. Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata...
  16. Mjukuu wa kigogo

    Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

    WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
  17. Mjukuu wa kigogo

    Kwanini matamko ya Kanisa Katoliki kuhusu Serikali mienendo ya Serikali mbalimbali duniani huwa yanakuwa na nguvu zaidi na pengine tofauti na mengine

    Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine? Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
  18. B

    Serikali ni sisi, siyo tofauti na sisi, tumewaajiri viongozi, tuwakosoe

    Mahojiano kabambe kuhusu utawala wetu kwa kina: Mazungumzo na Rakesh Rajani Juu ya Demokrasia |Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S08 https://m.youtube.com/watch?v=T6cmRer8qjo Umuhimu wa elimu kutufanya kuwa na ukombozi wa kifikra, kuchambua, kudadisi, kukosoa badala ya hali ya sasa...
  19. Lugoda lwa chuma

    Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

    Habari zenu wakubwa! Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T? Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
  20. MamaSamia2025

    Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
Back
Top Bottom