BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,885
- 4,193
Wakuu habari zenu niende kwenye mada moja kwa moja
Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa watoto wa kwetu na watoto wa kizungu
Kupitia movie ata documentary mbali mbali ata series
Nilichokuja Tambua ni kwamba wazungu huwai sana ku detect kipaji au kitu fulani special kwa watoto wao
So inakuwa rahisi sana kumchagulia mtoto njia ambayo unatambua kabisa kwamba uyu dogo ni mnoma kwa nyanja hii hapa
Mfano dogo anapenda mpira anatambua jinsi ya kufanya hili watoto wao wafikie ndoto na hatma zao kwa moja
Kuna video niliwahiona hapa kwetu dogo anachezea fimbo za nguvu kisa kuenda kucheza mpira nilisikitika sana uku nikijisemea moyoni kwamba muafrica ni elimu inayohitaji ili kuondoa dhana hizi potofu kwa wazazi wetu wa kiafrica
Lakini hiyo ni tofauti na kwetu dogo anapoonesha utaalam kwenye njanja fulani fulani Huwa mara nyingi wazazi wengi wa kiafrica huweka negativity mbele sana kuhofia usalama wa dogo zaidi kwahiyo dogo anapoonesha kutofuata matakwa ya wazazi huonekana kama kiburi ndipo fimbo zitamshukia hapo hapo
Au pengine mtoto wa kiafrica anaweza akaonesha kipaji toka mtoto lakini akakosa support au mazingira ya jamii yake inayomzunguka akaonekana kama
Ni mtu wa tofauti tu lakini watashindwa kuufanya ule utofauti wake kuwa fursa
Sababu hakuna miundombinu ya elimu au authorities ambazo uweza kudetect vipawa vya watoto na kuwapeleka kwenye hatma zao
Ni mtazamo tu