tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    Ukiwa Profesa, kuna elimu yoyote ya msingi ya ziada unayokuwa nayo tofauti na elimu nyingine za chini?

    Jamani nauliza hivi kwa sababu nimeangalia kesi inayoendelea kati ya Winshear Gold Corp na Tanzania ARBN 20/25 kwa kweli inasikitisha. Profesa hana majibu yoyote yanayoweza kuishawishi Tribunal kuamua in favor of Tanzania. Kwa sababu hiyo, ninasikitika sana kuona wasomi na walimu wakongwe wa...
  2. Mganguzi

    Wanaomwamini Freeman Mbowe na Chadema yake, watafika wamechoka sanaa! Huyu ana malengo tofauti na anachokihubiri

    La haulaaa! Nimeona mahali Freeman na Dk. Slaa watahutubia mkutano pamoja na pia hawa watu wamerudisha mahusiano yao hivyo kazi iendelee! Mbowe Freeman alibadili gia angani na kuwatupa nje wafia chama wengi akamkumbatia Lowasa na Sumaye! Dk. Slaa hakupendezwa, akaenda CCM kimya kimya...
  3. N

    Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  4. Hyrax

    Naomba kufahamu tofauti ya Kutajirika na Kufanikiwa

    Haya maneno mawili yananichanganya kidogo naomba mwenye uelewa aniandikie hapa nijifunze Kufanikiwa si ndio kutajirika huko au kutajirika ndio kufanikiwa kwenyewe mi sielewii.
  5. Nyuki Mdogo

    Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂 At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  6. Analogia Malenga

    Balozi Dkt. Slaa awakosoa waandishi kwa kuandika habari tofauti na alichokisema

    Akiwa katika Mkutano na waandishi wa habari, Dr Wilbroad Slaa amewalaumu waandishi wa habari kuwa walipewa fedha ili kuandika habari kuwa Dr. Slaa akubali mkataba wa bandari. Ambapo amesema kuonesha kuwa wamepokea fedha hata vichwa ya habari vilifanana kwa magazeti saba. Slaa ameongeza kuwa...
  7. R-K-O

    Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
  8. britanicca

    Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
  9. Teko Modise

    Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

    Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
  10. Trainee

    Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

    Salaam alaykum... Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo uislamu wamepotoshwa baadhi ya mambo mpaka kufikia kuona dini yao ni chungu na ngumu kutekeleza...
  11. D

    Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

    Ndugu zangu nawasihi simameni kama wazazi! Unapopoewa dhamana ya kumlinda mtoto wa mtu hakikisha unatimiza majukumu hata kama kuna udhaifu wowote! Mimi enzi nafundisha shule ya kujitolea enzi hizo nimemaliza chuo! Kuna kabinti kalinitamkia waziwazi Ikanahitaji penzi langu! Lakini nilikumbuka...
  12. DR HAYA LAND

    Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

    Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake . That way watu wana vipato vikubwa but they still broke . Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya...
  13. D

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  14. Its Pancho

    Simba imerudi shimoni ilikokuwa, haina tofauti na Gor Mahia

    Wakuu, Hii team yetu bwana siku zinavyosogea imekuwa jalala. Wenzetu Yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia. Ni nini kama sio kutuona mazumbukuku? Pili inakuwaje mchezaji analalamika hapangwi bila sababu za msingi? Yaani kiongozi anakuja na karatasi ina list tayari...
  15. F

    Naomba tofauti ya Rasilimali zifuatazo...

    Naomba kutofautishiwa au tafsiri ya maliasili hizi 1: Pori tengefu 2: Pori la akiba 3: Hifadhi ya misitu Asanteni Sana kwa ufafanuzi sahihi
  16. D

    Hakuna tofauti kati ya mtalaka aliyezaa na mshale wa speed: Hata utembee nae speed gani kuna mahali tu mshale utarudi zero

    Kuoana na mtalaka yataka moyo sana! Yaani hakuna tofauti na mshale wa speed! Jaza mafuta mengi, tembea ujuavyo lakini mashimo kidogo tu lazima mshale urudi chini! Maisha ya mtalaka mnapoanza safari ni matam sana! Lakini kadri mnavyokwenda taratibu ndiyo unagundua kwanini ulimkuta single! Hata...
  17. comte

    Tofauti zetu zingekuwa hivi tu ingekuwa haina shida

  18. Expensive life

    Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  19. R

    Dar es Salaam na Pwani joto bado kali hakuna kipupwe tofauti na mikoa mingine. Shida ni nini?

    Hii mikoa laana zimezidi za watu au shida ni nini? Ilipaswa kuwa baridi mwezi huu lakini joto kama lote tofauti na mikoa mingine. Hatujui lini winter(kipupwe) kitaanza 🤦🏾 Ina maana majira yamebadilika huku tu, mbona mikoa mingine sasa hivi kuna baridi?
  20. African Geek

    Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
Back
Top Bottom