World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au kuandika
Hebu wajuvi wa Lugha hii tupeni wengine darasa tuelewe jinsi ya kuyatumia maneno haya kwa usahihi!
Mwenye uelewa na hilo anisaidie. Mara nyingi kwenye Labour casea huwa kuna revision and not appeal.
See attached case
===
Katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania huko Tanga, Maombi ya Kiraia Na. 145/12 ya 2023, James Gideon Kusaga (mwombaji) alitafuta muda wa ziada kutoka kwa uamuzi wa Mahakama...
Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023.
Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya...
Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua.
Aungurumapo Simba mcheza nani?
Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk?
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Sisi tuko hapa:
Bipartisan talks must end...
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla;
Enzi hizo wakati...
Habari,
Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
Mfanye ajisikie furaha, au asielewe nini atajisikia akiwa nawe.
Muda mwingine mpe hisia za huzuni. Ajisikie bila wewe hana furaha maishani. Inapostahili usiogope kumwambia ‘hapana’.
Hata kama unaona itamfanya ajisikie vibaya.
Ni heri ajisikie vibaya kuliko kutaka kumfurahisha muda wote/...
Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kiongozi wa siasa na mapambano ya kisiasa ya kambi ya upinzani Tanzania, ambae alijaaliwa ushawishi mkubwa zaidi kwa upande wa Zanzibar tokea miaka ya 1988 alipofukuzwa katika Chama Cha Mapinduzi na serikali hadi pale umauti ulipomfika, mwezi Februari...
Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆.
Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa.
Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano.
Wengi wao wanatoa ahadi...
Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana.
Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini anawagongea sana wanaume wembamba .
Sasa tofauti ni hii. Sisi wanaume wembamba maskini tunawagongea...
Ubepari ni kuamini kuwa umiliki wa Mali binafsi ndiyo njia msingi wa kufikia kutosheka kwa binadamu hili liina maana ya kwamba bepari anakusanya Mali, watu, akili n.k ili kuweza kujipa furaha na kutosheka Rejea Theory ya Capitalism na Mechantalism.
Ujamaa ni kitendo kukubali kuwa mafanikio au...
MTU ANAYEJITAMBUA NA ASIYEJITAMBUA.
Leo jijue upo katika kundi Gani.
1. MTU anayejitambua hawezi kuwa mtu wa dini ila anakua mtu anayeamini katika Mungu, kwakua dini Kwa mwafrika zilitungwa na mkoloni KUMTAWALA muafrka. Pia anayejitambua hufahamu mababu walitumia Imani vizuri na walisikilizwa...
Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze.
Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe.
Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.