World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Hivi nini maana ya diaspora? Na Je, Lissu na Lema nao si diaspora au tofauti yao na hao diaspora wetu ni nini? Kwa nini wao tunawarusu kupiga siasa za nchi yetu na kuwaruhusu kugombea hadi uraisi wa nchi yetu?
Kwani Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusiana na jambo hili?
Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana kabla ya kuanza kwa uchungu wa kweli wa leba, kwa wiki 1 au 2 kwa mimba ya kwanza na kwa siku chache kwa...
Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
Eti wataalamu, tofauti ya asali ya nyuki wadogo na wakubwa ni nini? nyuki hao wanatofauti gani zingine mbali na ukubwa? maana binafsi huwa naona hili suala ni la marketing tu ili kupiga watu bei.
Habari za leo wadau...
Hivi kwann unakuta member wa kiume ila kaweka picha ya kike & vice versa. lengo haswa ni nn? Na picha nazozungumzia hapa ni zile za kutega kama kiuno chenye shanga au dem kajibinua.. Hivi wakikufata dm kukutongoza utaona ni dharau? Najua kuna wengine ni matapeli huku wako...
Wandugu,
Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?
Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
Bajaj zikipita traffic light bila ruhusa haina shida, wewe mwenye gari ukiunga ukidhani mmeruhusiwa imekula kwako.
Bajaj ikijaza watu, igeuze main road, ichukue abiria nje ya kituo, na dereva aendeshe kwa kuning'inia hakuna mtu atambugudhi. Daladala ifanye kosa mojawapo hapo utaumia.
Kama...
Venezuela!
Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran.
Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu.
Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri.
Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
“Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu,
Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui?
Kwa...
Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine.
Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike.
Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao.
Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used”
Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu...
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu.
Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika.
Baadhi ya maandiko ya...
Na Gianna Amani
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija katika maeneo mengi sasa. Teknolojia imechangia katika kurahisisha shughuli za binadamu, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.