tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Black Opal

    Nini tofauti kati ya supu na mchemsho?

    Wakuu, Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti! Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti...
  2. Richard

    Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

    Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani amekimbia na kutoka nchini. Sasa huu ni mtihani kwa TISS, vyombo vya fedha, uhamiaji na wizara ya mambo ya...
  3. Sildenafil Citrate

    KWELI Mwanamke anaweza kubeba Ujauzito wa watoto mapacha wenye baba tofauti

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kusikia mwanamke mmoja nchini Uganda kajifungua watoto wawili (mapacha) wenye baba tofauti, hali hii ilinishangaza sana. Hali kama hii iliripotiwa pia Septemba 9, 2022 kwenye jarida la CNBC ambapo mwanamama mmoja kutoka Minerois, Brazil alithibitika kuwa na ujauzito...
  4. TPP

    Tofauti kati ya Tanzania na China kiuongozi

    Ili taifa liendelee lahitaji wananchi na viongozi kuheshimu na kuziogopa sheria na wala sio kinyume chake" sheria kuogopa kundi fulani la watu(watawala ) Former security chief China ex-railway minister China's former justice minister
  5. Meneja Wa Makampuni

    Lebanon leo wameamka na majira mawili tofauti ya saa yanayopingana

    Wananchi nchini Lebanon wameamka leo wakiwa na majira mawili ya nyakati yanayopingana, huku kukiwa na mzozo kati ya viongozi wa kisiasa na kidini kuhusu ni wakati gani saa zinapaswa kurudishwa ama kusogezwa mbele. Waziri Mkuu wa Muda Najib Mikati alitangaza kuwa mabadiliko ya yataanza mwishoni...
  6. Allen Kilewella

    Tofauti kati ya Waarabu, Warusi, Wamarekani na wazungu kuhusu utu wa mtu

    Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia. Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
  7. Mtu Asiyejulikana

    Nahisi kuna mtu/watu walikuwa wanaingia, nimekuta tofauti kabisa

    Niliachana na mwanamke mmoja kwa miaka miwili, two weeks ago tumerudiana but home kumebadilika sana. Mlango umetanuka, zamani nilikuwa napita kiupande upande kwa kujibana, sasa waaaaah, ndani. Hata sielewi. Je, ni mimi nimekonda au mlango umetanuka? Nyumbani nimekuta hapako the way nilizoea...
  8. O

    Edo Kumwembe: Tumekuwa na Aziz Ki watatu tofauti ndani ya miezi 10

    NILIMWONA Stephane Aziz Ki katika pambano la Yanga dhidi ya Real Bamako wiki iliyopita. Alitolewa wakati wa mapumziko na hakuna shabiki wa Yanga ambaye alishangaa au kuchukia. Huenda Aziz Ki alikuwa mchezaji mbovu kuliko wote wa Yanga jioni ile. Nasikia alichukia kutolewa. Sijui alichukia...
  9. Tajiri Tanzanite

    Tofauti ya Laizer na Mchaga

    Hapo vip!! Kuna siku nimemsikia mwanasiasa mmoja anayeitwa Lema akiwa anamuongelea TAJIRI LAIZER kisiasa na kihuni, nikawasikitikia watu wasiofahamu ukoo wa Laizer watakavyojazwa ujinga na Lema. Kwanza niseme Lema anajaribu kutumia jukwaa la kisiasa kuropoka, akijua watanzania wengi ni wavivu...
  10. GENTAMYCINE

    Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

    WANAOTOKA TAMASHA LA MWAKASEGE 1. Werevu Kimazungumzo 2. Wana Afya ya Kimwonekano 3. Hawana Uchovu Kimwili 4. Hawaonekani kama Wamechanganyikiwa 5. Wengi wao ni Intellectuals 6. Wameshiba Neno na siyo Mapepo na Miujiza 7. Siyo Omba Omba ( hasa wa Chakula au Nauli ) Ibada ikimalizika. WANAOTOKA...
  11. Sky Eclat

    Mtoto kuasiliwa na Jamii tofauti na asili yake

    Nilisoma kisa cha dada mmoja anaitwa Jane, kilichapishwa gazetini wiki mbili zilizopita. Jane ni mchanganyiko wa damu nyeupe na nyeusi. Baba yake ni Mzulu na mama ni mzaliwa wa Uingereza. Mama yake Jane alikutana na raia wa Afrika Kusini miaka ya mwisho wa 60 na mwanzoni mwa 70. Huyu...
  12. Analogia Malenga

    Mwezi wa leo naona una rangi tofauti, au Yesu ndio anarudi

    Wakuu nipo zangu kijijini kwangu hapa naangalia mbalamwezi sio nyeupe kama nilivyozoea, wataalamu wa anga hebu semeni kidogo. Kwa wakazi wa Dar angalieni mwezi.
  13. Justine Marack

    CHADEMA wote wameunga juhudi kwa staili tofauti

    Wala sitaki kuwapotezea muda wenu wanabodi. Ni kwamba Chadema Sasa kimekua Chama Cha Kuunga JUHUDI lakini Kwa Mitindo tofauti. Katika Awamu ya Tano muhula wa kwanza, Tulishuhudia Makamanda akiunga JUHUDI na kuhamia huko kubuyuni mazimamazima. Katika Awamu hii ya Tano muhula wa pili. Sasa...
  14. MoseKing

    Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  15. Dr Matola PhD

    Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako. Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba...
  16. stewie

    Bidhaa tofauti za watoto zinauzwa kwa bei rafiki

    🔹Audio Card readers za watoto -: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk -: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets Bei 28,000 Tsh 🔹Bidhaa ya pili ni...
  17. Mwizukulu mgikuru

    Mtoto wa kiume apewe support kubwa ya ari na mali tofauti na wa kike

    Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike. Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
  18. R

    Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  19. H

    Tofauti za majina kwenye vyeti vya kitaaluma kutoka mamlaka husika ni usumbufu usio na ulazima

    Kumekuwa na usumbufu usio na ulazima kwa baadhi yetu ambao tumewahi kukutana nao,inapotokea unatakiwa vyeti kwa lengo fulani mfano,fao la kustaafu,fao la uzazi,ajira nk. Usumbufu unaojitokeza ni pale majina yako yanapotofautiana kwenye vyeti na nyaraka mbalimbali. Unakuta mtu unaitwa John...
  20. Kaka yake shetani

    Sifa kuwa manispaa mbona tofauti inavotekelezwa

    Manispaa (kwa Kiingereza: municipality) ni mji wenye kiwango fulani cha kujitawala katika shughuli zake. Madaraka hayo ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya mahali iliyochaguliwa na watu wa manispaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu) kuamulia na kukusanya kodi fulani...
Back
Top Bottom