Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Hello
Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje na inawezekanaje, yaani nataka nijue ukawaida wake,.
Yaani ile utakuta familia moja lakini watoto wanakwambia " sisi baba mmoja mama tofauti",. Au wengine " mama mmoja baba tofauti" au sisi wote tumbo moja kasoro fulani,. Au sijui niwekaje ila ndio hivyohivyo nadhani mmeelewa,.
Kwa mfano sasa wewe ndio mzazi, let say mama are you comfortable kuishi na hizo tofauti au baba labda hizo tofauti hukuwaje,. Hakunaga upendeleo labda?? Vipi adhabu mtoto akikosea are you comfortable to treat them as you treat yours??,.
Na kwa siblings je?, mnakua mnaishije ile yaani kuwa comfortable unajua kuna sometimes mara mgombane mara mnuniane mara huyu achukue kitu cha yule ilimradi tu zile vurugu,. Je mtu tofauti haisi kama atakua anaonewa sometimes?? au ile kujihisi hayuko comfortable , kujitenga labda kujiona sio mhusika wa nyumba hiyo??
Yaani sijui nimewaza nini hapa,. Mniambie kwanza huwa inakuwaje kwa wote yaani kila upande mniambie kwa nafasi yake,.mzazi au siblings mnaishije??