Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje?

Mbona mada inaeleweka vyema kabisa.

Summary.
Familia zinaweza vipi kuishi na ndugu wa kufikia mfano Familia ya baba na mama na watoto ila mtoto mmoja ni nje. Hiyo kwa ufupi
Hata wewe pia hujaelewa, baba/mama mmoja ila baba/mama tofauti, wazazi na au watoto mnaziishi vipi hizi tofauti ?
 
Unaonekana umelelewa mboga Saba!!
Tuliolelewa mboga moja unakula kilichopikwa kukipenda au kutokipenda hiyo ni juu yako!!!
Nguo utavaa utakayonunulia hukuipenda hiyo ni juu yako!!
Sahihi kbsa, hata mimi nimeishi na familia 2 tofauti siyo wazazi wangu na hakukuwa na chaguo la chakula wala nguo. Nguo zenyewe hata miaka 2 hammjanunuliwa nguo mpya.
Adi yunifomu kaptula tako nje shati kama umen'gatwa na mbwa tunadunda tu wala hatuna habari wote mie pamoja na watoto wa familia. Sikubaguliwa wala kufanyishwa kazi kuwazidi watoto wa zile familia.
 
Pole na Hongera,.
Nimependa ulivyo na positive energy kwenye hilo maana wengine wanakuwaga na vinyongo hadi utuuzimani
Asante. Ni kweli kabisa na isitoshe mara nyingi ukiishi kwa vinyongo moyoni hasa vya maisha yako ya utotoni mwisho wa siku atakae kuja kuwa affected in a negative way ni ww mwenyewe coz kinyongo cha utotoni ukikiruhusu kikae moyoni mwako huwa ni ngumu sana kuondoka.

Niliishi kwa tabu sana ila mwisho wa siku taabu hiyo ilinijenga sana kiasi kwamba nilikomaa akili ingali niko mdogo. Maisha hayo yalinifanya nisitamani kabisa kuwa na mtoto wa nje ya ndoa hivyo kipindi cha ujana wangu nilijitahidi sana nisimpe binti yoyote mimba kisha nimtelekeze, hicho ni moja ya kitu ambacho niliapa kutokuja kukifanya maishani mwangu na always nilikua nikimuomba Mungu kisije kunitokea kamwe.

Finally, at my 30's Mungu alijaalia nikapa mke wa ndoa na sasa nipo na familia yangu, a healthy one japo changamoto za ndoa hazikosekani ila nina furaha sana coz Mungu alinipa zawadi ya mke wa maisha yangu.
 
Hongera sana aisee
 
Hello

Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje na inawezekanaje, yaani nataka nijue ukawaida wake,.

Yaani ile utakuta familia moja lakini watoto wanakwambia " sisi baba mmoja mama tofauti",. Au wengine " mama mmoja baba tofauti" au sisi wote tumbo moja kasoro fulani,. Au sijui niwekaje ila ndio hivyohivyo nadhani mmeelewa,.

Kwa mfano sasa wewe ndio mzazi, let say mama are you comfortable kuishi na hizo tofauti au baba labda hizo tofauti hukuwaje,. Hakunaga upendeleo labda?? Vipi adhabu mtoto akikosea are you comfortable to treat them as you treat yours??,.

Na kwa siblings je?, mnakua mnaishije ile yaani kuwa comfortable unajua kuna sometimes mara mgombane mara mnuniane mara huyu achukue kitu cha yule ilimradi tu zile vurugu,. Je mtu tofauti haisi kama atakua anaonewa sometimes?? au ile kujihisi hayuko comfortable , kujitenga labda kujiona sio mhusika wa nyumba hiyo??

Yaani sijui nimewaza nini hapa,. Mniambie kwanza huwa inakuwaje kwa wote yaani kila upande mniambie kwa nafasi yake,.mzazi au siblings mnaishije??
Ni haibu kwa kweli, unaweza kuta mwanamke ana watoto 6 kila mtoto na baba yake na cha kushangaza eti anakuwa mshauri wa ndoa katika jami inayomzunguka.
 
Asante. Ni kweli kabisa na isitoshe mara nyingi ukiishi kwa vinyongo moyoni hasa vya maisha yako ya utotoni mwisho wa siku atakae kuja kuwa affected in a negative way ni ww mwenyewe coz kinyongo cha utotoni ukikiruhusu kikae moyoni mwako huwa ni ngumu sana kuondoka.

Niliishi kwa tabu sana ila mwisho wa siku taabu hiyo ilinijenga sana kiasi kwamba nilikomaa akili ingali niko mdogo. Maisha hayo yalinifanya nisitamani kabisa kuwa na mtoto wa nje ya ndoa hivyo kipindi cha ujana wangu nilijitahidi sana nisimpe binti yoyote mimba kisha nimtelekeze, hicho ni moja ya kitu ambacho niliapa kutokuja kukifanya maishani mwangu na always nilikua nikimuomba Mungu kisije kunitokea kamwe.

Finally, at my 30's Mungu alijaalia nikapa mke wa ndoa na sasa nipo na familia yangu, a healthy one japo changamoto za ndoa hazikosekani ila nina fura Mungu alinipa zawadi ya mke wa maisha yangu.
Nimeipenda hii.
 
Inategemea na Roho ya mtu, binafsi nimeishi kwenye familia mbili za namna hiyo, ila kwenye familia ya kwanza nilikuwa nabaguliwa live live na mzee, ila watoto fresh hali iliyopelekea nikahamishiwa familia ya pili.

Kwenye familia ya pili wazazi wote wawili hawakuwa wangu ila sikuwahi kubaguliwa wala kujihisi tofauti na watoto wa ile familia.

Hili suala lilinifunza mengi kuhusu maisha nililazimika kuwa mtu mzima ingali bado nilikua chalii mdogo sana.

Mwisho wa siku siwezi kubagua mtu na sipendi kuona mtu akibaguliwa, hata awe kwenye hali gani

Mwisho wake siku ni roho ya mtu binafsi.
Kubaguana ni mbaya sana.
 
Wala sio mboga saba ni kwamba hatujawahi kuishi na mtu wa tofauti ukiachana na ndugu na hawa wengine wapitaji pitaji.,

Sasa ndio tumeambiwa atakuja huyo sibling ambaye ni mtoto wa baba nawaza maisha yatakuwaje
Muonyesheni upendo,nae atawapenda.ukija kwetu huwezi elewa kama tumeshare baba tu kwa jinsi tunavyoishi.
 
Nimekupata,. Na vipi ulikua huru kuzungumza chochote??,.
Labda pengine chakula fulani hukipendi?, Au labda viatu nguo za aina fulani huzipendi unataka ununuliwe za mtindo fulani,.

Yaani ule ufree ambao mda wowote unaweza ukamwambia baba au mama kitu chochote??
Haikuwa rahisi namna hiyo, kabla ya kuanza kujitegemea sijawahi kusema sipendi chakula fulani wala kuwa na uchaguzi kwenye mavazi. Nilijifunza kufikiri mara mbili mbili kabla ya kutamka neno lolote
 
Sahihi kbsa, hata mimi nimeishi na familia 2 tofauti siyo wazazi wangu na hakukuwa na chaguo la chakula wala nguo. Nguo zenyewe hata miaka 2 hammjanunuliwa nguo mpya.
Adi yunifomu kaptula tako nje shati kama umen'gatwa na mbwa tunadunda tu wala hatuna habari wote mie pamoja na watoto wa familia. Sikubaguliwa wala kufanyishwa kazi kuwazidi watoto wa zile familia.
Vi Junior vinalelewa kimayai kiasi kwamba kakienda kuishi na mtu asiye mzazi wake lazima kaone kananyanyaswa maana katataka ukapikie kanachopenda, kukanunulia nguo mpaka mjadiliane nako😀😀😀 yaani kakija nyumbani kwako Kanataka kaishi kanavyotaka wewe uwe kama zuzu mara sitaki hiki mara sitaki kile Pumbavu nenda kwa babaako🤓🤓🤓🤓🤓
 
Leejay49 mbona wewe niwa mda sana humu, watu wa humu watakujibu kulingana na commet za mwanzo.

NB: WAMEELEWA SANA TU..!!
 
Ni kwamba kuna taarifa tumepewa kuwa mzee alikua na mtoto mahali anatakiwa aje nyumbani tuanze kuishi nae ,. So ndio nawaza hapa jinsi maisha yatakavyokua ili kila mmoja ajihisi kawaida na awe huruu.. Hatujai kuexperience kabsa yani kila mtu anaogopa
Jinsia gani na umri gani tuanzie hapo kwanza?
 
Uzoefu wangu(kwa dada yangu na ndugu zangu) unaonesha watoto wa nje ni watukutu sana. Hata mama yangu ameniambia hili sana...

Sipendi kuamini amini sana vitu kimapokeo, kwahiyo nadhani wanakuwa hivyo kwasababu hawapati malezi kamili(wanapatikana ujanani wakati wazazi hawajapevuka/wanapatikana kwa kuchepuka.)

Kwa huyu dada yangu, utotoni tulikuwa tukigombana mara kwa mara, lakini tumekuja kupatana ukubwani na tunapendana sana. Hii nadhani inatokea hata kwa ndugu wa tumbo moja.

Sijawahi kuona wazazi wakimbagua pia. Walimzingatia hivyo hivyo na utukutu wake.
 
Hello

Hivi mnaoexperience au mliowahi kuziishi hizi tofauti mtuambie iliwezekanaje na inawezekanaje, yaani nataka nijue ukawaida wake,.

Yaani ile utakuta familia moja lakini watoto wanakwambia " sisi baba mmoja mama tofauti",. Au wengine " mama mmoja baba tofauti" au sisi wote tumbo moja kasoro fulani,. Au sijui niwekaje ila ndio hivyohivyo nadhani mmeelewa,.

Kwa mfano sasa wewe ndio mzazi, let say mama are you comfortable kuishi na hizo tofauti au baba labda hizo tofauti hukuwaje,. Hakunaga upendeleo labda?? Vipi adhabu mtoto akikosea are you comfortable to treat them as you treat yours??,.

Na kwa siblings je?, mnakua mnaishije ile yaani kuwa comfortable unajua kuna sometimes mara mgombane mara mnuniane mara huyu achukue kitu cha yule ilimradi tu zile vurugu,. Je mtu tofauti haisi kama atakua anaonewa sometimes?? au ile kujihisi hayuko comfortable , kujitenga labda kujiona sio mhusika wa nyumba hiyo??

Yaani sijui nimewaza nini hapa,. Mniambie kwanza huwa inakuwaje kwa wote yaani kila upande mniambie kwa nafasi yake,.mzazi au siblings mnaishije??
Hapa inategemea vitu vingi mkuu
Mfano Malezi kuna Mtu kalelewa sehemu tofauti tofauti mpaka anakuwa so ana uzoefu WA Maisha mbalimbali utu ndani Yake unaweza kuwepo

Kuna mfumo WA Maisha kuna Watu washazoea kuona Watu tofauti na wao wanalelelewa vizuri hivo na wao hata maishani Wana uwezo mzuri WA kufanya hivo na kinyume chake

Pia kuna maneno ya kuambiwa ...Kuna Watu kutokana na maneno labdah Ndugu ni wabaya,au Mtu WA nje ya familia si Mtu mzuri hivo wanaishi kama Mzunguko WA 4(Yaani ukiwaona nje kama wamoja,ila ndani Kila Mtu Mtu kivyake vyake)

~Mwisho,Tabia inabadilika kutokana na mambo mengi katika makuzi apitiayo Mtu na Sababu kadhaa WA kadha,kwahio hakuna jawabu la moja kwa moja kwamba Mtu anawezaje kuishi na Watu tofauti kwa uzuri au ubaya ila mfumo WA Maisha unaweza kachangia Mtu kuweza kuishi na Watu tofauti tofauti (Nikilenga Ndugu,au baba mmoja mama tofauti n.k)
 
Back
Top Bottom