Jchris14
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 1,158
- 2,711
Aha! Kwa maana hio upo na nuclear family.?Hili tangu zamani ilibidi wazazi walizingatie sana,.
Kwa upande mwingine ingekua hivyo kuna watu wengi sana wasingekuwepo
Aha! Kwa maana hio upo na nuclear family.?Hili tangu zamani ilibidi wazazi walizingatie sana,.
Kwa upande mwingine ingekua hivyo kuna watu wengi sana wasingekuwepo
Unaonekana umelelewa mboga Saba!!Nimekupata,. Na vipi ulikua huru kuzungumza chochote??,.
Labda pengine chakula fulani hukipendi?, Au labda viatu nguo za aina fulani huzipendi unataka ununuliwe za mtindo fulani,.
Yaani ule ufree ambao mda wowote unaweza ukamwambia baba au mama kitu chochote??
Ni kwamba kuna taarifa tumepewa kuwa mzee alikua na mtoto mahali anatakiwa aje nyumbani tuanze kuishi nae ,. So ndio nawaza hapa jinsi maisha yatakavyokua ili kila mmoja ajihisi kawaida na awe huruu.. Hatujai kuexperience kabsa yani kila mtu anaogopaLeejay49 em tuweke wazi kidogo, ni unataka kuanzisha familia mseto amaa? 😂.
Familia mseto haina noma ila ukiweza kuiepuka iepuke tu.
Wala sio mboga saba ni kwamba hatujawahi kuishi na mtu wa tofauti ukiachana na ndugu na hawa wengine wapitaji pitaji.,Unaonekana umelelewa mboga Saba!!
Tuliolelewa mboga moja unakula kilichopikwa kukipenda au kutokipenda hiyo ni juu yako!!!
Nguo utavaa utakayonunulia hukuipenda hiyo ni juu yako!!
Oukay,.Ogopa wapaliliaji toka pembeni ya Shamba.
Watoto hubaguana na huchaguana kwa vigezo vyao Binafsi, ila maneno ya watu yakiwazonga lazima milunda igawanyike vibaya Sana.
Kuna familia zinashi huwezi jua ni wa kushare mzazi mmoja.
Yote inategemea wao Binafsi wanajiskiaje nafsi au wamebeba maneno gani vichwani.
Nyumbani ni Hisia.
Hiyo ni simple chakufanya ni nyie watoto kujua kuwa ni ndugu ila mkisikiliza tu watu wakuwatenga basi itakuwa ngumu.Ni kwamba kuna taarifa tumepewa kuwa mzee alikua na mtoto mahali anatakiwa aje nyumbani tuanze kuishi nae ,. So ndio nawaza hapa jinsi maisha yatakavyokua ili kila mmoja ajihisi kawaida na awe huruu.. Hatujai kuexperience kabsa yani kila mtu anaogopa
Quote
Nimeipenda hiiHiyo ni simple chakufanya ni nyie watoto kujua kuwa ni ndugu ila mkisikiliza tu watu wakuwatenga basi itakuwa ngumu.
Sisi tupo mseto na tunaishi fresh kabisa, mtu mgeni hauwezi kushtuka kama ni mseto.
Ukiwa na maana kwamba ulikua ukiteseka?, na ni mateso ya namna gani? Vipi ulikua huru kusema au ulikua unapambana nayo tu hadi ukakua mkubwa?Binafsi nimeishi kwenye familia ya aina hiyo yaani baba mzazi ila mama wa kambo.....kiufupi naweza kusema kuwa chako ni chako tu na cha mwingine ni cha mwingine tu.
Sawa! Sasa ukae kitaalamu usije toa utamu kwa njemba zingine ili ubaki na family yako strong.Yeah
Naweza nikasema kuwa niliteseka sana japo kwasasa baada ya kukua nilikuja kuona kuwa hayo mateso ndio yamenifikisha hapa kunijenga na kunifanya niwe bora zaidi. Sikuwa huru kwa chochote kile niliishi kama mtoto ndani ya familia lakini sikua najiona kama nina familia ya mama na baba.Ukiwa na maana kwamba ulikua ukiteseka?, na ni mateso ya namna gani? Vipi ulikua huru kusema au ulikua unapambana nayo tu hadi ukakua mkubwa?
Pole na Hongera,.Naweza nikasema kuwa niliteseka sana japo kwasasa baada ya kukua nilikuja kuona kuwa hayo mateso ndio yamenifikisha hapa kunijenga na kunifanya niwe bora zaidi. Sikuwa huru kwa chochote kile niliishi kama mtoto ndani ya familia lakini sikua najiona kama nina familia ya mama na baba.
Tulikuwa tunajitambua kabisa. Ni vile mzee alituaminisha sisi ndio watu tunaotokana na yeye na lazima tupendane na ikawa ivyo hadi leo.Nimeipenda hii
Vipi wote mlikutanishwa kipindi mkiwa tayari mnajitambua au mlikua bado wadogo
Sawa mkuu kila kheri.Mungu aniongoze tu kwakweli
Mzee wenu alikua na hekima sana,.Tulikuwa tunajitambua kabisa. Ni vile mzee alituaminisha sisi ndio watu tunaotokana na yeye na lazima tupendane na ikawa ivyo hadi leo.