Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi
Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
 
Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi
Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
Kwani kwenye mashua ya Noah hakuwemo? Tuanzie hapo.
 
FB_IMG_1745672060245.jpg
 
Namuona Tai akiongelewa sana, yupo pia kunguru pale safinani kwa Nuhu, yupo Njiwa pale Yordani kwenye ubatizo wa Yesu. Huyu bata hata nyama yake haivumi sana kama nyama ya kuku. Kwale naye yupo pale kwenye chakula cha Mana walichokula wana wa Israel jangwani wakielekea Kanaani
 
Back
Top Bottom