Udikteta upo!? Agenda ya No Reforms no election ilipotishwa kwenye vikao halali vya chama. Na hao wanaoponga ndani ya chama walishiriki kupitisha hii agenda. Iweje Leo waamue kiasi!? Watimuliwe tu na CDM itasonga mbele. Sisi wanachama na wananchi tunafahamu Kila kinachoendelea. Na tunataka mabadiliko.

Kwa sasa wapinzani wangeanza kuhamasisha kususia biashara zote za watu wa CCM kuanzia maduka yao, magari yao ,pikipiki zao ,Bar zao , mpaka sokoni ukiona mtu wa CCM anauza bidhaa unaachana nayo ili wakachukue pesa kwa Samia na watu wake .
Yaani kama kuna basi la Mtu maarufu wa CCM watu hakuna kuanda . Pesa na madaraka yao hawajui kuwa zinatoka kwa watu. Yaani ifikie mahali watu waogope kuvaa hata tishrt ya CCM maana hata kwenye Msiba na ugonjwa hakuna atakayekwenda . Yaani ni vyema waanze kufanya migomo ya kuwashunikiza na kukataa biashara zao.
Lakini pia ni vyema watu wakahamasishwa ili wachangie Chadema kwa kujinyima . Yaani siku nyingine mtu unatembea kwa miguu halafu ile Elfu mbili unaichangia Chadema .
Pikipiki za Samia iwe ni marufuku kwa kijana wa kitanganyika kuzipanda maana zimetumika kufilisi nchi na kuua ajira kwa vijana .
Mijini pote wanapoishi vijana wengi wa abangaizaje na kufanya biashara zao iwe ni marufuku kununua bidhaa kwenye maduka ya Mafisadi wa CCM wala .
Lakini pia TV kama Azam kwa sababu imejipambanua kuwa ni Chawa wa CCM nayo ianze kususiwa maana wananufaika na soko la Watangayika wengi bila kujali dini ,siasa na rangi lakini kwa sasa wa ameanza Udini na uchawa wa siasa . Wamekua na kiburi bila kujua kuwa umoja na mshikamano na upendo wa Watangayika ndio unaowapa fursa ya kiuchumi.
Hata mamluki ndani ya Chadema wasusiwe katika biashara zao wanazofanya kwa pesa haramu za Rushwa ili wavuruge chama .
Mbowe ameahidiwa ubunge wake kule Hai ndio maana anachochea kuvuruga Msimamo wake yeye mwenyewe .
Ila ajue tu kuwa Mpaka sasa hivi uchaguzi ukifanyika CCM walishashinda kwani Wameandikisha watu wao kwanza kwa uhakika na wameacha marehemu wengi ili waongeze kura . Halijafanyiwa uhakiki wa kisayansi wa waliojiandikisha .Vijana wengi hawajaandikishwa . Wazee wengi wana makazi ya kudumu huko vijijini . Marehemu wengi hawajaondolewa kwenye daftari la wapiga kura kwa muda mrefu.
Hivi kama tume imeshindwa kudhibiti uchaguzi wa serikali za mitaa ili kura zisiibiwe itaweza uchaguzi ambao Aliyewateua naye anashiriki.