CHAMA CHA KIDEMOKRASIA KISIWE CHA KIDIKTETA KITAKUWA HAKINA TOFAUTI NA CCM

CHAMA CHA KIDEMOKRASIA KISIWE CHA KIDIKTETA KITAKUWA HAKINA TOFAUTI NA CCM

Kutenguliwa cheo haihitaji usikilizwe hayo siyo mashtaka au suala la nidhamu ni uongezaji wa ufanisi kwenye utendaji. Tatizo ni ukosefu wa "collective responsibility" ndiyo itawatesa hili azimio lilipitishwa na vikao halali vya chama
maridhiano yalipitishwa na chama, lisu akayapinga waziwazi
 
Naomba kujuzwa mamlaka ya Lissu kutengua uongozi wa wanachama katika nyadhifa mbalimbali anapatia wapi kwa mujibu wa katiba ya chama ?

Na je, chama kimetoa nafasi ya yeye kufanya hivyo pasipo wanachama kusikilizwa wala kujulishwa juu ya utenguzi wao umesababishwa na nini ?
Sioni hata kama unaelewa unalichoandika. Viongozi wanaweza kutenguliwa kama wanaenda kinyume ni misimamo ya chama yaliyofanywa na vikao halali. Hakuna aliyefutwa uanachama. Tenganisha hayo mawili uendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom