toto

  1. Mtu Asiyejulikana

    Ukweli kuhusiana na Suala la Feisal Toto na Kigugumizi cha TFF. Chama na Dickson Job wapo kwenye Rada

    Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua. kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
  2. BARD AI

    Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi

    Waziri wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili (sawa na siku 14) akiuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha inarudi na mfumo rafiki kwa ajili ya kundi la watoto wa mwaka sifuri mpaka miaka 18. Ummy ameyasema hayo baada ya swali aliloulizwa na baadhi ya wachangiaji...
  3. Hamduni

    Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  4. Roving Journalist

    Ufafanuzi wa NHIF baada ya kusitisha huduma ya Bima ya TOTO AFYA KADI

    Pia soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha
  5. J

    Maoni ya wadau wa JamiiForums juu ya kusitishwa kwa Bima ya TOTO AFYA KADI

    Mnamo Machi 13, 2023 NHIF ilitoa taarifa rasmi kutangaza kusitisha Huduma ya Toto Afya Kadi ili kupisha Maboresho ya huduma hiyo na kuwataka Wazazi kusajili Watoto kama Wategemezi kupitia Vifurushi vingine vya Bima ya Afya au Shule wanazosoma, soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya...
  6. Replica

    Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
  7. O

    EDO KUMWEMBE: Kituo gani kinafuata kwa Fei Toto?

    ALIPOOMBA au tuseme walipoomba marejeo kuhusu kesi yake ya kujaribu kuvunja mkataba, upande wa Feisal Salum ‘Fei Toto’ umepigwa chini tena. Inaonekana kwamba uamuzi wa awali wa kamati iliyokaa kujadili kesi yake umebakia vile vile kwamba Fei ni mchezaji wa Yanga. Nini kinafuata kwa Fei Toto? Ni...
  8. JanguKamaJangu

    Yanga yamtaka Fei Toto arudi klabuni haraka na pia klabu ipo tayari kumuuza

    Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah. Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yang imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavvo na...
  9. M

    Fei Toto huwezi kuwakwepa Yanga, ukivuliwa nguo chutama

    Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana wanakwepa kupeleka mashtaka CAS. Kwa akili ya kawaida baada ya review yake kugonga mwamba, alitakiwa...
  10. William Mshumbusi

    Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani. Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu. Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi. Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria...
  11. kavulata

    Fei Toto anahitaji msaada wa maombi

    Kijana amevurugwa kichwa, wenye hela wamemvuruga moyo, pepo la fedha nyingi za ghafla likamrukia shingoni. Hapo alipofikia Sasa hahitaji msaada wa wanasheria bali wanamaombi ili kumtoa pepo la tamaa na choyo lililomfunika. Wanasheria watamharibia zaidi kipaji chache. Fei Toto anahitaji watu...
  12. Fundi kipara

    Kushindwa kwa Fei Toto ndio nafuu ya ushindi wa soka letu!

    Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo na mfano kwa Wachezaji mbalimbali kuvunja mikataba yao bila utaratibu. "Mbona Fei alivunja?" Kauli...
  13. M

    Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...
  14. JanguKamaJangu

    Kikao cha review ya Fei Toto chamalizika, Fatuma Karume asema ameridhishwa na mchakato

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetumia muda wa saa mbili kumaliza kupitia upya shauri la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Klabu ya Yanga linalohusiana na mkataba baina ya pande hizo mbili. Shauri hilo lilianza kusikilizwa saa 5:20 asubuhi na...
  15. Mtu Asiyejulikana

    Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
  16. GENTAMYCINE

    Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

    "Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu...
  17. J

    Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  18. JanguKamaJangu

    Injinia Hersi Said: Bado tunamsubiri Fei Toto, tunaendelea kumlipa mshahara

    Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amezungumza kuwa baada ya Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji kumtaka Fei Toto kurejea Yanga, mchezaji huyo hajarejea klabuni licha ya kushindwa katika shauri la kuvunja mkataba wake na Yanga. Amesema baada ya hapo wao wanaendelea kumlipa mshahara na stahiki...
  19. Suley2019

    Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

    Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo...
  20. music mimi

    Yanga bado tunamuhitaji Fei Toto

    Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa. Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto. Kwanza anaelewana vizuri na Mayele. Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha...
Back
Top Bottom