SIJUI ni lini tutaacha kutumia siasa katika vitu vya msingi. Nawaza sana juu ya hili lakini sijapata majibu.
Ni wiki moja sasa imepita tangu sakata la mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ limalizwe kisiasa na kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Fei Toto...
TFF ndio baba wa mpira Tanzania, ndicho chombo kikuu cha mpira nchini, ndio wenye mpira wao.
Kama TFF imethibitisha kuwa Fei Toto ni mali ya Yanga haitoshi kuishia hapo tu, bali lazima waseme ni nini kinafuata kwa wale wote (kama wapo) waliohusika na kufanya mazungunzo na mchezaji na hadi kumpa...
Moja kwa moja kweye maudhui:
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu.
Badala yake, Rage amemtaka Fei Toto akae chini tu na Yanga na awe mpole badala ya hiki anachojaribu...
Wakili Salum Nduruma ambaye anamuwakilisha mchezaji Feisal Salum katika mgogoro wake wa kimkataba dhidi ya Yanga amesema wamepokea nakala ya maamuzi ya Kamati na mteja wake hana mpango wa kurejea Yanga kuendelea kuichezea timu hiyo.
“Feisal Salumu mpaka sasa hivi hana mpango wa kurudi na...
Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi...
Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi.
Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu,
Young African Sports Club VS Feisal Salum
Japo swala lake liliamriwa na TFF ambayo ilijivika kuwa tribunal .tofauti na...
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu hayupo lakini tumbo bado ni changamoto kupona.
Kama kuna mtu anaijua tiba kamili ya huu ugonjwa...
Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye.
===
Alichoandika Saleh Jembe kwenye Ukurasa wa Instagram
WANASIASA ACHENI KAMATI ITENDE HAKI, MSISHADADIE DHULMA...
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
Diwani Msuya wiki iliyopita si nilikuambia pale maeneo au kijiwe chetu uwe makini sana si unaona mkuu amefanya yake? Nilikuambia na haukutakaa kusikia nilikuambia reconciliation yanaenda Yanakuknock out wewe nje ya mfumo, mkuu anaandaa safu yake ilikuwa ni matter of time tu ya wewe ya kukula...
Wekeni Kumbukumbu huu uzi. Feisal Toto sijajua nani anamdanganya. Ila nadhani amesahau. Ameisahau Yanga. Yanga siyo kama Simba wale mabwege.
Huyu Fei Toto namwona hapa akija Yanga analia akiomba asamehewe. Tena anaomba acheze kwa mshahara wowote ambao Yanga watapenda kumpa atakubali kwa moyo...
Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship, ligi kuu, Azam cup na mapinduzi cup sio Cha mtu muungwana hata kidogo na kinaudhi kila mtu mwenye akili lazini.
Lakini kuondoka kwake...
Hapa ulipofika ndiyo uko kwenye kilele cha taaluma yako
Umefika hapa kwa kipaji na juhudi kazako na unastahili kupata mavuno ya kazi zako.
Bahati mbaya maisha ya bongo yamejaa utapeli mwingi,
Wenzetu ulaya hatua hizi walishazipitia na wakaweka utaratibu mzuri. mchezaji anaweza kuchukuliwa...
Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa.
Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa.
Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua...
Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
Kwa matusi yale yaliyoporomoshwa jana na Wafuasi wa Yanga, ningemshauri Fei ajisajili Simba ili apate nafasi ya kuwashughulikia Yanga katika mechi ya mzunguko wa pili wa ligi kati yao.
Fei keshafanya makubwa kwa Yanga na kwa muda mrefu lakini malawama na matusi aliyoyapata jana wakati yeye...
' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni.
Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai...
Kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni, nimeshangazwa na Mchezaji aliyekosa namba kikosi cha kwanza cha Yanga Herriet Makambo kulipwa 10M huku mchezaji mwandamizi na tegemeo Feisali Toto akilipwa hela ndogo mara tatu yake hakika Tanzania bado tuna viongozi wengi wa mpira madalali tuwape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.